Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Mengi aliuguzwa na mercy mkewe wa Zamani Baada ya stroke.huyu jack alikuwa mlevi tuuu.mengi alichanganyikiwa mkewe alivyokufa.jack hakualikwa ,


Nimekipata vyema sasa Mkuu .Asante kwa ufafanuzi .

Mara nyingi Mke wa kwanza wa mwanaume anakuwaga na uchungu na mumewe ukizingatia kama wametoka mbali,,sio hawa wa make up box na kingereza cha so so
 
kwanini mzee unaoa binti mdogo vitu vingine wanaume tunajitakia.

tunajua kabisaa kumridhisha ni ngumu kuoa binti mdogo ni ubinafsi nakumtesa huyoo binti kwa manyege.
Mkuu nakusoma ila kuna changamoto ambazo ni ngumu kuzifahamu kabla hujafikia umri husika.

Ukiwa Mzee na pesa ipo utahitaji ule kitu roho inapenda, na kama 'vinafikika' basi ndio kabisaaa....kiukweli ni changamoto.

Na wanapoingia walahi watakuhakikishia kwa Miungu yote kwamba kila kitu kitakuwa sawa, na unawajua tena hawa 'viumbe wenzetu'...a.k.a kina Delila...ili hali tayari wanakuwa na target zao.
 
Nimekipata vyema sasa Mkuu .Asante kwa ufafanuzi .

Mara nyingi Mke wa kwanza wa mwanaume anakuwaga na uchungu na mumewe ukizingatia kama wametoka mbali,,sio hawa wa make up box na kingereza cha so so

Sheria ni sheria, haiangalii upendo wala huruma,
 
Mzee alikosea sana ....alishindwa kuhimili tamaa za kichwa chake cha chini hat I'm a eat ameacha doa kubwa sana katika family yake .... mtu aliye pambana miaka nenda rudi kwaajili ya kujilimbikizia ukwasi wa kutosha na heshima katika jamii licha ya elimu na IQ kubwa aliyonayo Mwisho wa siku akaenda kujiingiza kwenye mambo ya kipuuzi kabisa ambayo yalistahiki kufanywa na mwana bongo flavor ....leo hii athari yake inatak kuwa maliza watu

Jamaaa yaelekea alikua intellectually very average maana huwezi kua na decision making skills suspect namna hii....

Kichwa cha chini mzee kwa ukwasi na exposure aliyonayo mzee hawezikosa pussy yoyote anayoitaka off books!

Sijui ni akili gani zilimtuma kwenda kuoa na kusaini makaratasi kibwege namna hiyo....

Imagine everything vipo kwa jina la MENGI then this bitch apate hiyo 50% then aolewe na huyo Muarabu bwana sijui Abdulaziz then by swapping hiyo mali yote inakua under name Abdulaziz

Yaani wealth inahama through marriage!

Such a dumb thing to do aisee!
 
Kama mzee alifanya hivo atakuwa alitumia busara zake sana na elimu ili kuepesha ugomvi baade.


Hivi kwanini wanawake wanaaminigi kuwa mwanaume ndo ataanza kufa kwanza ndo afuate yeye.

Statistically and naturally, women live longer than men.
 
Yani watu wote humu hamjui mnachokiongea mmekalia chuki tu kuongea kwa mihemko hata sheria hamjui kwa taarifa yenu kisheria wale watoto wadogo ndio wanaurithi mkubwa kushinda wote wale wana 50% hizo zinazobaki ndo wanagawana wakubwa na mjane alieachwa watoto wanapewa urithi mkubwa kwasababu hawajitegemei bado wadogo ndo maana hata Magu aliwapa watoto wa jacky rambi rambi hamjiuliz kwanini hakumpa yule kijana punguzen chuki kuongea msichokijua
Mercy alikuwa na 75 asilimia ya mali na nina dhani hata kabla hajafa walikuwa na kesho mahakamani yeye na mumewe hivyo 25 ndiyo za Mengi
Katika 25 ndiyo wagawane watoto wote na mjane lakini siyo kile alichochuma Mercy
 
Suala la mirathi ya Mengi sio rahisi kama wengi tunavyofikiria, kumbuka ndoa yake na Jacky ilifungwa nje ya TZ, kwa iyo hapo kuna suala la sheria za nchi gani zitatumika kwenye mirathi, Kyle alipofunga ndoa au TZ kwenye Mali?

Kama sheria za TZ zitatumika, Je watatambua sheria za nchi ambayo mjane na marehemu walifunga ndoa?

Itapendeza wanasheria wetu wakitufungua macho kwenye hili ili na wengine wapate elimu wanaotaka kufunga ndoa kwenye foreign jurisdictions.
Hii technique aliutumia Rollin Stone alpoachana na mke wake. Alimuoa kwenye visiwa vya Fiji kumbe kwa sheria za Uingereza walikoachania ndoa haijulikani. Jamaa aliingia kutoa children maintenance tu.
 
Hivi huyu bidada alishawahi kwenda Machame hata kusalimia?

Sidhani kama huyu dada kama anamaelewano mazuri na watoto wa mke mkubwa.

Binafs huwez niambia Jack n mwanamke wa thamani ,angekuwa wa thaman asingekubal swaga za Mzee . Huyu alimpendea mzee wetu mali
Ivi bidada alilazimisha kuolewa?
 
Back
Top Bottom