Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Wabongo baadala ya kutafuta pesa,mnachunguza maisha ya watu,kwanza hilo li picha,limetengenezwa tu,wala sio Jack huyo,na kama ni yeye hiyo picha imepigwa baada ya Mengi kufa,?kwanini hiyo picha haikutoka kabla,mwezi uliopita,mwaka Jana?!!!
 
Go Jackie Gooo,
wabongo kuongea jadi yao, kaa kimya wakichoka watalala, sote tunajua ulimpenda mzee Mengi, ulimzalia mapacha, ulimpa furaha aliyoitaka na hakusita kuongea mbele ya kadamnasi,

Kama wachaga hulka yao ni kunyanyasa Wajane basi safari hii watagonga mwamba.
 

Too bad wambea hatulalagi hivyo *****, tukitaka kumtoa mtu kwenye ramani ni dakika moja tu
 
Too bad wambea hatulalagi hivyo *****, tukitaka kumtoa mtu kwenye ramani ni dakika moja tu
Safari hii wambea mtanyooshwa ipasavyo, mzee hakua mjinga kumuacha mkewe kizembe tu,
lieni, zimieni urithi wake upo pale pale
 
Kweli kabisa
Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
 
Alimchagua Jackie kati ya wanawake milioni, akasema huyu ndie nitamaliza nae umri wangu uliobakia na kweli ndoto zake zimetimia, sasa wenye chuki mnamtolea macho mjane na maskendo kibaooo me nawapa pole sababu Mungu yupo upande wa wajane siku zote.
 
Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Alikuwa anakula kijana mwenzetu, alafu sisi tungekuka nini, unumiliki pesa nyingi tulia ndo utaishi,
 
Mmh babe hapo kwenye kumpenda hapana japo mengine yote yanaweza kuwa sahihi
 
Ukiachana na kutowaamini pia kuna athari mtu mzima unapooa binti mdogo, uyo mdada umri wake imembidi tu afanye ivo japokua sio sahihi
 
Watu wana nguvu za bed na pesa wanasalitiwa itakuwa Jack kwa Mengi. Hata hivyo msiba hauna muda mrefu, tuache kuyakuza mambo kwa huyu mdada
 
Zinaanza picha za kawaida kwanza ...

Tukipinga pinga ndo zinakuja zenyewe Sasa..


Jamani tuendelee kupinga huku kwenye comments wote tuseme hilo ni pozi la kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…