denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Msanii sana yule, sio wa kutiliwa maanani.Hahahaha naona mzee wa Msoga anafundishwa jinsi ya kutunza kumbu kumbu hahahaha
Anajidai kuwaaminisha watu kuwa wasichanganye dini na siasa kuwa ni hatari ana sahau miaka yote utaeala wake alikuwa anatumia mgongo wa dini kutwala…
Amesahau alimtumia hadi lipumba kuzunguka misikitini kupata kura za Waislam hahahaha
Jk anatakiwa kumsaidia Mama Abdul kujibu hoja za bandari si kuwatisha watu