Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 305
- 584
Gone are the good days ID yangu ya zamani ilifyekwa ila majukwaa mengi yamepwaya baada ya wakongwe kujitoa kwa kuacha kuchangia kutokana na kundi rika jipya lenye utamaduni wa matusi na kebehi kuliko hoja hii inatokana na mfumo wa elimu wanaoutumia kwa sasa.Nilishawahi kutana naye pale JB Bellmonte. NSSF HQ POSTA Kulikuwa na Bar pale. Yeah ni PhD holder alafu ni Dr Uingereza aisee
Kweli Mkuu lakini naona huu uzi umesababisha Baadhi ya I'd kutia neno kidogo kama vile ChivunduGone are the good days ID yangu ya zamani ilifyekwa ila majukwaa mengi yamepwaya baada ya wakongwe kujitoa kwa kuacha kuchangia kutokana na kundi rika jipya lenye utamaduni wa matusi na kebehi kuliko hoja hii inatokana na mfumo wa elimu wanaoutumia kwa sasa.
Hahahahahaaha naam Naaaaaam Ndugu yangu! Enzi za Ridhiwan kuvumaMkuu leo huko PM nimekutana na zile PM za moto unaukumbuka ule waraka wa USA kwenda kwa JK? π€£π€£π€£
Aisee kweli JF kipindi ina operate virtually ilikuwa ni nondo sana
Sio ile nyingine mkuu πππHahahahahaaha naam Naaaaaam Ndugu yangu! Enzi za Ridhiwan kuvuma
Hahaha mie mshangazi ujueWeeee sema walahiπ§ππ
Asante brother,. Japo sijui hongera ya niniπDuuh, hongera mdogo wetu.
Sema nyie hamzeekagi ,. Mnakuwaga na visura na miilli ya kitoto toto,.Hahaha mie mshangazi ujue
Hongera tuu.Asante brother,. Japo sijui hongera ya niniπ
Ooh kumbeπHongera tuu.
Najuaga ni mdada hivi anakaribia third floor au yuko tayari, kumbe....mdogo wangu.
Jitunze mdogo wangu, eat healthy,jipende,jichague wewe kwenye kila kitu halafu kuwa na hela zako binafsi...utabaki young foreverSema nyie hamzeekagi ,. Mnakuwaga na visura na miilli ya kitoto toto,.
Sisi sasaπ
nakukumbuka sana enzi hizo hata sija signup...nondo za nyandi ngadu na wengine ziliuwa very hot...2007 tupo chuo content mpaka jf na hakuna smartphone...Nilikuwa hapa hapa.
Hahaha.Hongera,
Hapa sasa hivi tunaweza kubishana kwa vikumbo na watoto umri wa kuwa sawa na wanetu kabisa πππ.
πππNawe ulikuwa toddler kama Leejay49 ?
daah kweli aisee umenikumbusha mbali sana. Zilikuwa zinatumwa nondo humu balaa. Namkumbuka mkuu mmoja akitumia jina la echolima sijamuona humu tena. Hata viongozi wakubwa serikalini walikuwepo humu tena wengine wakiweka wazi tu majina yao. Mijadala ya siasa kijamii ilikuwa ya moto sana. Miaka imeenda maisha yamebadilika sana. Hata ivyo Jf bado na itaendelea kubaki the only reliable source of credible information for long long long time to come.Gone are the good days ID yangu ya zamani ilifyekwa ila majukwaa mengi yamepwaya baada ya wakongwe kujitoa kwa kuacha kuchangia kutokana na kundi rika jipya lenye utamaduni wa matusi na kebehi kuliko hoja hii inatokana na mfumo wa elimu wanaoutumia kwa sasa.
Yule ni mwanajeshi mstaafu pia pengine sababu ya umri kapumzika kuchangia humu, ni miongoni mwa wanajeshi waliopigana vita vya Uganda 1978- 1979.daah kweli aisee umenikumbusha mbali sana. Zilikuwa zinatumwa nondo humu balaa. Namkumbuka mkuu mmoja akitumia jina la echolima sijamuona humu tena. Hata viongozi wakubwa serikalini walikuwepo humu tena wengine wakiweka wazi tu majina yao. Mijadala ya siasa kijamii ilikuwa ya moto sana. Miaka imeenda maisha yamebadilika sana. Hata ivyo Jf bado na itaendelea kubaki the only reliable source of credible information for long long long time to come.
yeah alikuwa one of frontliners kwenye ile vita alishusha episodes za kibabe sana za ile vita hadi kuna wakati unaweza kujisahau ukafikiri unacheki movie hiviYule ni mwanajeshi mstaafu pia pengine sababu ya umri kapumzika kuchangia humu, ni miongoni mwa wanajeshi waliopigana vita vya Uganda 1978- 1979.
Ni kweli yote uyasemayo ila kunuka makwapa ni kama hapa Bongo tu kwani kuna wengi wananuka makwapa na wachache wanajuwa usafi wa mwili.Maswali kuhusu India. Niwie radhi kwa ujinga wangu.
Nimesoma na Wahindi. Nimefanya kazi kwa ukaribu na Wahindi. Bado nafanya kazi na Wahindi.
Yote hayo ni nje ya India.
Wahindi wanajulikana kwa mapenzi yao ya kutumia viungo vyenye harufu kali sana.
Ukienda kwenye nyumba zao wanakoishi, ni harufu ya viungo tuβ¦.binzari, mdalasini, n.k.
Kutokana na utumiaji wao huo wa viungo kwenye vyakula vyao, hata harufu za miili yao ni kali na mbaya sana, hususan kwa wale ambao si wasafi.
Huko India, sehemu zote huwa zina harufu ya curry? Hata ukiwa barabarani harufu ya curry ipo?
Kwenye vyombo vya usafiri je? Na kwenyewe kumejaa harufu ya curry?