PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Ona sasa kunibania riziki🧐,.
Sema ukute hata alishakufaga zamani😂😄
Kwajinsi mnavyoihadithi JamiiForums kweli imetoka mbali
Naangalia PM za zamani hapa aisee, nimeona PM za Ben Saanane Dah 😓😓😓
 
Naangalia PM za zamani hapa aisee, nimeona PM za Ben Saanane Dah 😓😓😓
Huyo ben ningekuwepo enzi hizo ningeomba usajili ni mwanaume jasiri sana.!!
Nimepitia nyuzi zake zilikuwa za moto sana halafu sio muoga na hana nidhamu ya woga.!! 😻
 
Huyo ben ningekuwepo enzi hizo ningeomba usajili ni mwanaume jasiri sana.!!
Nimepitia nyuzi zake zilikuwa za moto sana halafu sio muoga na hana nidhamu ya woga.!! 😻
Aisee nazisoma hapa alikuwa ananichana makavu na alikuwa anamsifia Mheshimiwa Nape Nnauye coz wote walisoma India 🤣🤣🤣
 
Huyo ben ningekuwepo enzi hizo ningeomba usajili ni mwanaume jasiri sana.!!
Nimepitia nyuzi zake zilikuwa za moto sana halafu sio muoga na hana nidhamu ya woga.!! 😻
Nipe kitengo Mimi basi maana Mimi ni Jasiri sana halafu ni gentleman 😍😍😍
 
Nipe kitengo Mimi basi maana Mimi ni Jasiri sana halafu ni gentleman 😍😍😍
😹😹😹 Mi pasua kichwa siku mbili hunitaki tena 🤣
Linatakiwa mwanaume kweri kweri
 
Mkuu DR Mambo Jambo umekumbusha vitu vingi sana aisee ni kweli huu mtandao tuna kila sababu ya kujivunia cha nyumbani 😀😀😀

Mijadala ya nyakati zile ilikuwa ni moto kweli na enzi nilikuwa sijapevuka vya kutosha miaka 23,24 hivi. Nakumbuka kuna kigogo mmoja wa kuitwa Barubaru aisee huyu ni mtu mzito sana hauwezi kudhania nilikuwa namchokonoa na hoja mbovu mbovu mimi na Baba Mchungaji Masanilo.

Kuna siku akajitambulisha yeye ni Dr wa Uchumi na Fedha na anafanya kazi Gulf Oils huko duniani akatoa na contacts zake za Tanzania na kwao ni Zanzibar, Mimi nilikuwa kule nikapiga zile namba na alipokea Mpambe wake akanipa direction alipo aisee nikaenda pale Serena Hotel nilikutana na Makomandoo wa JWTZ wanapalinda na alikuwa na kikao na Mheshimiwa mkubwa sana wa Serikali. Aisee mbona nilikimbia 🤣🤣🤣

Kuanzia siku ile nikajifunza adabu humu mitandaoni sio pakuchukulia poa.
Halafu mzee Masanilo niliwahi kuambiwa ni PhD holder kabisa hahaha..
 
Back
Top Bottom