PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

tupo kitambo sana, sema ukishaharibu humu inabidi kubadili tu ID. Mimi binafsi ule mtifuano wa safari ya matumain 2015 uliniponza RIP mzee Lowasa.
 
Sikuizi nitakua before nijibu comment ya mtu inabidi nizame kwanza mwenye profile yake nione amejoin mwaka gani,. Nisije kubaruzana na mzazi nipate laana🤒

Em niambie kwanza 2013 we ulikuwa wapi mkuu😄😂
😀😀😀Moderator wawawekee vitufe special vya kuwatambua kma ni kundi maalumu lenye kuheshimika
Japo mm wanaweza kuwa babazangu babaang kastaaf 2006 akiwa na miak 55
 
😀😀😀Moderator wawawekee vitufe special vya kuwatambua kma ni kundi maalumu lenye kuheshimika
Japo mm wanaweza kuwa babazangu babaang kastaaf 2006 akiwa na miak 55
Duh!

Baba yako nimemzidi miaka miwili 😀.
 
Naikumbuka sana Jambo . Mijadala mikali, majukwaa mbalimbali na wachangiaji makini.

Siwezi kuwa na maneno ya kueleza kwa mengi niliyojifunza wakati ule na hata sasa.
 
Back
Top Bottom