PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Dan Kilingeni Msata nalisongesha.. Nilikuwa faya mno kwa tiba za ukagugi wa kienyeji😀 hata siamini kabisa ndio mimi wa sasa wa never miss church😉
Yeah Na mimi Nimeshangaa Sana Umebadilika Mungu Kakuokoa 😅😅
 
Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..

Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
Wengine tulianzia Jambo Chat.

Tumetoka mbali sana na kijana Maxence Melo
 
Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..

Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
Hapa internet ilikua ya kuifungia safari kabisa, nilikua UDSM mwaka wa TATU. Nilikua natumia internet ya cable zile, LAZIMA uwahi kuipata cable uchomeke upate internet. Kuna watoto hawaelewi ninachosema.
 
Wapi nimelazimisha unijue! Mimi nimesema nilikuwa nafikiri wewe ni Ke!
Umeandika hivi “ Aisee...Mimi siku zilite najua wewe ni dada”.

Umetumia neno “najua”. You don’t know me from a can of paint.

Hivi huko mtaani hutongozwi mpaka uje kutafuta attention kwangu?

Peleka bunyero lako huko. FOH.
 
Khe
Age mate? Hahaha!
Email account nimefungua 2001, ilikuwa hotmail.com
Facebook account nimefungua 2008.
Nilitumia Darhotwire miaka hiyo.

Jf sikwahi kuiona kabisa, ni 2012 ndio nilioona na baadae nikajiunga.

Nimeanza kuzagamua 1999🤣, nashindwaje kuwa mzazi wako.
Wakongwe
 
Back
Top Bottom