PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..

Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
Kheri ya mwaka mpya babu💐
 
Kabisa aisee! Nimecheka sana leo.

2006 Nipo humu nagombana na akina Raj Patel na Nyama Hatari, Leejay49 yeye anafyonza pacifier na kunywa juisi kwenye sippy cup 🤣.
🤣🤣🤣🤣 Alafu wanatuambia eti tafuta pesa, watoto hawa hawana adabu kabis.
2006 mie nipo kandahar nahangaika na mataliban🤣🤣🤣🤣
 
Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..

Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
Nilikua naitwa ndiyomtam
 
Back
Top Bottom