Hiyo ikifuata baada ya salami "Hi".Ulikuwa mtandao wa habari lakini pia una chatrooms, yahoo walikuwa nayo pia...
Unaingia chatroom, unakuta kuna raia wapo tayari kuchat unaanzisha maongezi...
"ASL" wakongwe watakumbuka hii 😂
ASL = Age, Sex, Location.
Ukipata wa kutoa majibu yote matatu shukuru, na chat inaniga sana