Una mtoto wa kike boss, 😅(utani lakini usimind) uwe baba mkweHongera,
Hapa sasa hivi tunaweza kubishana kwa vikumbo na watoto umri wa kuwa sawa na wanetu kabisa 😂😂😂.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mtoto wa kike boss, 😅(utani lakini usimind) uwe baba mkweHongera,
Hapa sasa hivi tunaweza kubishana kwa vikumbo na watoto umri wa kuwa sawa na wanetu kabisa 😂😂😂.
Mimi nina utani nawe?Una mtoto wa kike boss, 😅(utani lakini usimind) uwe baba mkwe
Tuyaache hayo mkuu naona unataka kupanicMimi nina utani nawe?
Mimi nguvu zangu za kiume kali mpaka sina mtoto wa kike.
Siyo nataka ku panic nyie wabongo wengine hamna adabu wala ustaarabu.Tuyaache hayo mkuu naona unataka kupanic
Yale magazeti ilikuwa ukitoka kusoma habari zake halafu kuwahadithia wabongo wanakuona mtu wa ajabu.Mtandaoni niliingia first mwaka 2001 kwenye computer ya msomali mmoja wa East Africa Fuel Co ltd,,japo nilijua kuna internet tangu 1993 kupitia magazeti ua Newsweek na Time nilikua nayasoma kwenye library ya kanisa catolic,,magazeti yalikua yanaletwa kwa padre,akimaliza kuyasoma anayaweka library,,nadhani kwa wilaya ile mi ndo nilikua msomaji pekee wa hayo magazeti😂
Hahaha, aisee.Mimi nina utani nawe?
Mimi nguvu zangu za kiume kali mpaka sina mtoto wa kike.
alikuwa mbele ya muda, rip.Yale magazeti ilikuwa ukitoka kusoma habari zake halafu kuwahadithia wabongo wanakuona mtu wa ajabu.
Kuna magazeti hayo ya Newsweek na Times ya mshua nilikuwa nasoma miaka ya 1993 - 1996, habari za ozone layer depletion due to Chlorofluorocarbons (hii kuiandika na kuitamka tu wabongo walikuwa wanaona uchawi). Habari za antibacterial resistance, habari za Big Bang Theory.
Nilikuwa nasoma humo halafu nakwenda kuwahadithia watu kijiweni na shuleni watu wanaona kama habari za dunia nyingine.
Kwenye mtandao nilitengeneza website yangu ya Geocities mwaka 1996. Sadly zile websites za geocities waliziondoa zote.
Miaka hiyo ukijua kutengeneza website unaonekana wewe mtu fulani wa ajabu sana. Mtaani walikuwa wananiita "kijana wa dotcom".
Tulikuwa tunaenda internet cafe ya Raha Tower pale na producer Roy Bukuku (RIP). Roy mchizi yule anakaa kwenye computer kaiunganisha na website imeibadilisha ile keybiard ya computer imekuwa keyboard ya muziki, halafu anakupigia muziki kwa kutumia keybiard ya computer, inakuwa kama keyboard ya muziki.
Nikamwambia Roy wenzako ndiyo kwanza tunajifunza internet wewe ushaiunganisha keyboard ya computer iwe keyboard ya muziki na unatengeneza nyimbo tayari?
Those were the days maan!
Maswali kuhusu India. Niwie radhi kwa ujinga wangu.Nlikua chuoni India
Dan Kilingeni Msata nalisongesha.. Nilikuwa faya mno kwa tiba za ukagugi wa kienyeji😀 hata siamini kabisa ndio mimi wa sasa wa never miss church😉Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..
Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
JamboForums ilianzia na Bcstimes.com mwaka 2005.Nilikuwa member wa jambo forums kabla haijawa jambo forums. Tulikuwa tunabishana yahoo groups. Dikumbuki majina ya groups huko, lakini nahisi jambo forums ilianzia yahoo.
HakikaJamboForums ilianzia na Bcstimes.com mwaka 2005.
Bcstimes.com ikadukuliwa na kuathiriwa na virusi vya Condor dragon.
Mdogo mdogo ndo ikazaliwa JamboForums.
Mimi, Mwanakijiji, Mkandara, Njabu Ngabu, Jasusi, Fikiraduni, Reverend Kishoka, Deshbhakt, FMES [Le Mutuz]na wengineo, ndo tukahamisha makazi huku.
At the same time, Youngafricans.com nayo ndo ilikuwa ipo kwenye siku zake za mwisho.
Members wa huko nao wakaanza ku migrate huku.