PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

2006 nilimaliza form six ila mambo ya jamii forum nilikua sijui hata simu sijawahi kuwa nayo enzi hizo! Zile simens na Motorola ilikua mwiko kugusa
 
Nilikuwa Natimiza Miaka 10 Tangu Niajiriwe..
Maana Nimeajiriwa Mwaka 2003 Tarehe 26 Mwezi wa 10 Mkoa wa Morogoro.. Hii Ndo ajira yangu ya kwNza Kabla sijahama hama Sehemu mbalimbali na Hatimae Nipo Sehemu X sasa Hivi

Jf Nilijiunga Tangu mwaka 2006 ila Avcount yangu Ilipigwa Ban 😅😅 nikafungua nyingine 2012 Nilikuwa mtukutu Enzi hizo..
(Si unajua jf ya Kipindi Kile ilikuwa Siasa sana)
Hatari sana ile JF, siasa za moto mnoo BAN zilikuwa za kugusa tu, tofauti na sasa uhuru umezidi
 
2010 nlitengeneza account ya kwanza, nikasahau password yake na nikasahau password ya yahoo mail yangu.

Nilifahamu Jamiiforums kupitia magazeti enzi hizo Dr Slaa yuko moto kweli.
 
Nilijiunga jambo kwa username Kingsley nikiwa inspired na preason break character kale ka Nokia kakapotea
 
Back
Top Bottom