DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #121
Nimeajiriwa Nikiwa na Miaka 31 😀😀Heshima yako mkuu,. Laah 🤔🤔
Sema zamani mlikua mnaajiriwa mkiwa bado wadogo,.
Hapo Nishachanganyikiwa na Shule..
Chuo nishapiga Miaka 6 Kitaa nishahustle kama Miaka 4 au mitano hivi ndo nikapata Ajira ya Serkali..
😅😅
Nilibakiza Miaka 14 Iwe Kikomo cha Kuajiriwa Serkalini so Niliajiriwa na Miaka 31..