PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

Wewe wa 2010 nilikua najitambua tayari,. Wewe age mate😂
🤣🤣🤣
BEFORE nilikuwaga na I'd inaitwa
Fellow Tablet
Kabla ya hiyo nilikuwa na I'd inaitwa King Julien na kabla ya King Jullien nilikuwa na I'd inaitwa Lora hebu piga mahesabu hapo. Hivi unajua humu Jamiiforums tulikuwa kwenye mchakato wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos? Halafu mimi nilikuwa ni moja ya waandamizi?

Mimi ni Kikongwe ujue 😀😀😀
 
Mmmh,. Wenzio kina Nyani Ngabu wamebaki nazo zilezile hawahitaji maneno mengi kutushawish😂😂,.

Kwanza Kwanini ulibadili I'd ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…