min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sasa kasungura wetu 2006 pana umbali gani?😁Duuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyie
Sidhani kama nlikua najua vingine ukiacha na jina langu,. Labda na A for Apple😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kasungura wetu 2006 pana umbali gani?😁Duuh,. Ila kuna watu ni wazamani sana humu aisee 2006 parefu nyie
Sidhani kama nlikua najua vingine ukiacha na jina langu,. Labda na A for Apple😂😂
Parefu mkuuSasa kasungura wetu 2006 pana umbali gani?😁
Ila kweli kwa sababu hata mimi naona 1980 ni mbali ila kuna watu wanaona ni juzi tu.Parefu mkuu
Nipe na mimi Shikamoo yangu 🤣🤣🤣Yaani😄,.
Sikuizi itabidi before nijibu comment ya mtu naangalia kwanza kwenye profile yake amejoin mwaka gan
Utamsikia mzee wangu anakwambia ,..Mimi mara ya mwisho kuumwa malaria ni mwaka 1999, unabaki tu aisee 🤔😃😂Ila kweli kwa sababu hata mimi naona 1980 ni mbali ila kuna watu wanaona ni juzi tu.
Wewe wa 2010 nilikua najitambua tayari,. Wewe age mate😂Nipe na mimi Shikamoo yangu 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Wewe wa 2010 nilikua najitambua tayari,. Wewe age mate😂
Mmmh,. Wenzio kina Nyani Ngabu wamebaki nazo zilezile hawahitaji maneno mengi kutushawish😂😂,.🤣🤣🤣
BEFORE nilikuwaga na I'd inaitwa
Fellow Tablet
Kabla ya hiyo nilikuwa na I'd inaitwa King Julien na kabla ya King Jullien nilikuwa na I'd inaitwa Lora hebu piga mahesabu hapo. Hivi unajua humu Jamiiforums tulikuwa kwenye mchakato wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos? Halafu mimi nilikuwa ni moja ya waandamizi?
Mimi ni Kikongwe ujue 😀😀😀
Nyani Ngabu na yeye alikuwaga na I'd kibao, na kuna chizi mmoja anaitwa Yo Yo walikuwa wanamtukanana sana aiseee.Mmmh,. Wenzio kina Nyani Ngabu wamebaki nazo zilezile hawahitaji maneno mengi kutushawish😂😂,.
Kwanza Kwanini ulibadili I'd ?
Ndo salaam gani hiyo?Ha ha ha
Haya buana shikamoo🤒
Anha sawa,. Kumbe akina GENTA walikuwepo toka zamani😑😃Nyani Ngabu na yeye alikuwaga na I'd kibao, na kuna chizi mmoja anaitwa Yo Yo walikuwa wanamtukanana sana aiseee.
Niliamua kuwa halisi tu 😀😀😀
Kumbe nyie ndio watoto wa elfu mbili tunaowasema kila siku🤣🤣 kifupi naweza kabisa kuwa baba yako, sema hatukuwa wakorofi wa kuchezea paaapaaa🤣For real,. Sikua hata najua kama leo siku gani.
Hongereni sana aisee mmetoka mbali sana
Dah kweli aisee.Wengine tupp humu toka enzi hizo!
😅😅😅Enzi hizo naitwa NANYUPU
Taratibu basi wasije wakasikia🤒😂Kumbe nyie ndio watoto wa elfu mbili tunaowasema kila siku🤣🤣 kifupi naweza kabisa kuwa baba yako, sema hatukuwa wakorofi wa kuchezea paaapaaa🤣