Laah ulikua na 23 mwaka huo 2006🤓🤔,.Ndo salaam gani hiyo?
Yaani haya buana 🤣🤣🤣
Marahaba mdogo wangu nilijiunga humu nina 23 tu
Mimi alternative IDs zangu zote zilikuwa zinajulikana na sikuwahi kujificha hata kidogo.Nyani Ngabu na yeye alikuwaga na I'd kibao, na kuna chizi mmoja anaitwa Yo Yo walikuwa wanamtukanana sana aiseee.
Niliamua kuwa halisi tu 😀😀😀
Genta ana I'd mbili 2 hana hata content gani za maana? Zaidi ya kuokoteza habari kwenye vijiwe tu?Anha sawa,. Kumbe akina GENTA walikuwepo toka zamani😑😃
Hata Abihudi alikuwa hapa hapaNilikuwa hapa hapa.
Nilikuwa nipo Darhotwire.com ingawa pia nilikuwepo hapa kwa ile ID yangu nyingine😎Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..
Ama Kweli Tumetoka Mbali, asante sana Maxence Melo kwa kutufikisha kwenye Maudhui Bora na Hakika Tumetoka Mbali sana..
View attachment 3204571
Sema wewe sio wa long time mkuu,. 2010 bado kijanaEnzi hiyo tunakatiza mitaa ya downtown Kowloon
DuuhGenta ana I'd mbili 2 hana hata content gani za maana? Zaidi ya kuokoteza habari kwenye vijiwe tu?
Kuna Baba Mchungaji Masanilo naye alikuwaga na i'ds zaidi ya 3. Hivi Mkuu Mshikaji wako Yo Yo yuko wapi?Mimi alternative IDs zangu zote zilikuwa zinajulikana na sikuwahi kujificha hata kidogo.
Matter of fact, nilikuwa natangaza kabisa kuwa ID flani ni mimi.
Nilikuwa nazitumia pale tu ninapopigwa ban.
Age mate? Hahaha!Taratibu basi wasije wakasikia🤒😂
ILa wewe 2013 mie niko S.t.d 6,. Wewe age mate kabisa
Umenikumbusha mbali sanaWatu tulianzia darhotwire ikapotelea mbali sema watumiaji wengi walikuwa watu waliyo mbele huko
Ova
yahoo nilianza kutumia mwaka 2003Age mate? Hahaha!
Email account nimefungua 2001, ilikuwa hotmail.com
Facebook account nimefungua 2008.
Nilitumia Darhotwire miaka hiyo.
Jf sikwahi kuiona kabisa, ni 2012 ndio nilioona na baadae nikajiunga.
Nimeanza kuzagamua 1999🤣, nashindwaje kuwa mzazi wako.
Aisee kweli ni baba😑,.Age mate? Hahaha!
Email account nimefungua 2001, ilikuwa hotmail.com
Facebook account nimefungua 2008.
Nilitumia Darhotwire miaka hiyo.
Jf sikwahi kuiona kabisa, ni 2012 ndio nilioona na baadae nikajiunga.
Nimeanza kuzagamua 1999🤣, nashindwaje kuwa mzazi wako.
Basi tu sijui kwanini lakini humu Jamiiforums kuna watu wa maana sana yaani. Ni watu wenye hadhi na nyadhifa zao. Lakini ndio vile members wa kuanzia 2016 na kuendelea wengi wamekosa staha kabisa.Aisee kweli ni baba😑,.
Ila nyie miaka inaenda sana aisee,.Just imagine leo uko jukwaani mnabishana kwelikweli na mtu unaweza kumzaa kabisa
Ndio raha ya utandawazi, tunajochanganya watu wa rika zote bila kubaguana, sasa kama mzee kama mimi naweza kukutongoza na kukuweka...🤪dunia inaenda kasi sana!Aisee kweli ni baba😑,.
Ila nyie miaka inaenda sana aisee,.Just imagine leo uko jukwaani mnabishana kwelikweli na mtu unaweza kumzaa kabisa
Sema wewe sio wa long time mkuu,. 2010 bado kijana
aisee nyie wa 2006 mpewe tuzo kabisaNilikuwa hapa hapa.
Mheshimiwa kabsaNilikuwa hapa hapa.