KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
NA CCM WANAWEZA NINI...????Eeenhee! hiyo ndo kazi chadema mnaweza
Kwaiyo ulitaka akawapikie??? Kama mm muuza dagaa nasherekea tena kwa party la maana vipi yeye!?!? Alipwi mshaara. Acheni maneno yenu ya chuki na wivu. Ungegombea ww mwenye uchungu basiAnasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Unataka kumaanisha kuwa kuna wananchi mna uhakika wa kula milo mingi kwa siku kwa sababu ya wabunge wenu?Upo jimbo gani na mie nihamie hukoAnasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa sigku!pathetic
Hahahaaaaa!Halima ana furaha sana kwakuwa Easter Bulaya yupo na pembeni namuona mzee wa totoz Mbowe...
We ni fala magufuli pale kwao chato ziwa likojirani lakini watu wanakosa Huduma yaaji safi na salamaAnasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWamependeza sana. Kwanini kichwa chako kinawaza mambo mabaya tu?
Pambafu.Umemuweka na Nyerere?
Wewe na familia yako hua hamsherekei siku zenu za kuzaliwa?Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
Kazi ya Mbunge sio kuwalisha watu chakula kutoka mfukoni mwake, bali kuishauri Serikali iweke Sera zitakazowezesha watu kuwa na chakula muda wote, na hilo huyo Mheshimiwa huwa analifanya sana. Hebu mwache apumzishe akili.Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic