PICHA: Jinsi Mbunge Halima Mdee alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa

PICHA: Jinsi Mbunge Halima Mdee alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa

Ebu wekeni siasa pembeni, huyu mbunge namzimia sasa sasa. Mwenye namba yake plse nitumie.
 
Lini anafanya sherehe ya engagement?? Huu mwingine ni upuuzi tu!
 
Moderator Invisible na nyie acheni ukiazi!...lirudisheni limada lao hili huko huko siasani wakalumbane vizuri...huku sie twamung'unya ubuyu kurelax!
...mnatukata stimu!
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Kwaiyo ulitaka akawapikie??? Kama mm muuza dagaa nasherekea tena kwa party la maana vipi yeye!?!? Alipwi mshaara. Acheni maneno yenu ya chuki na wivu. Ungegombea ww mwenye uchungu basi
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa sigku!pathetic
Unataka kumaanisha kuwa kuna wananchi mna uhakika wa kula milo mingi kwa siku kwa sababu ya wabunge wenu?Upo jimbo gani na mie nihamie huko
 
Yaani kuna watu wanataka kuwaambukiza wenzao upumbavu wao, kwani Halima ndiye kiongozi wa kwanza kufanya hiyo "Birthday Party". Hiyo sherehe ya Mdee imeifikia ile aliyofanyiwa Nyerere alipofikisha miaka 75?
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
We ni fala magufuli pale kwao chato ziwa likojirani lakini watu wanakosa Huduma yaaji safi na salama
 
Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
Wewe na familia yako hua hamsherekei siku zenu za kuzaliwa?
 
Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.

mbona JK alikuwa anasherekea na anafanyiwa sherehe kwa gharama ya serikali wakati mambo yake binafsi na wanakijiji wenzie wa Msoga?
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Kazi ya Mbunge sio kuwalisha watu chakula kutoka mfukoni mwake, bali kuishauri Serikali iweke Sera zitakazowezesha watu kuwa na chakula muda wote, na hilo huyo Mheshimiwa huwa analifanya sana. Hebu mwache apumzishe akili.
 
Back
Top Bottom