Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Kwa hapa Niko mwenyewe (kazi ya Leo ni ndogo ndiyo maana Niko mimi na kibarua wangu)
Kazi ikiwa kubwa Nina mafundi wenzangu Huwa nashirikiana nao.
Karibu
Hapo kwenye kushirikisha mafundi wenzako ndo naonaga kazi inaharibika, unless uwabane kweli kweli.
Maana ukiwauzia wajenge kwa yofali wanalipua ili wajenge nyingi, ukiwalipa kwa siku wanategea ilibwafanye kwa siku nyingi.
Kama unataka ku maintain ubora wa kazi yako, ni bora ufanye wewe na kibarua wako
 
Yote hayo nayaelewa mkuu. Sifanyi kazi na ilimradi fundi tu.
Nina mafundi wenzangu ambao tunajuana Kwa kazi nzuri.
 
Mfano hapa ninapojenga Sasa, Boss alinipa nyumba ya kwanza nikamjengea vizuri Sana na Sasa kaniita nije nimjengee na huku.
Kwahiyo linapokuja swala la kufanya kazi na mafundi wenzangu basi wapo mafundi wenzangu ambao tunajuana Kwa kazi nzuri
 
Hapo sawa
 
Maeneo ya majohe haya napajua hapo njia ya chanika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…