Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Kujenga tofali ni utamu sana!
 
Namba Moja ni Skiming, namba mbili tofali, tamu Sana kunyoosha hizo kazi
 
Nawaza hapa nirudi nyumbani au nilale hapa hapa saiti, nisijekwenda nyumbani halafu itolewe marufuku ya kutoka ndani, wakati huku saiti ni amani tupu 🤣
 
Heri ya Krisimas na MwakaMpya kutoka Saiti
 

Zege DAY kwenye Christmas day
 
Hii ilikuwa asubuhi kabisa ndiyo tunafika saiti tunakuta ugomvi wanataka kutoana roho 🤣
 

Attachments

  • VID-20251225-WA0000(1).mp4
    2.2 MB
Tunafungasha kilicho chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…