Iwe buju kaisiki nikonakwenda akanana kange nikushabaigonzi.Kwani wachaga hamfi sana .kaburi wala halina uhusiano na kifo cha mtu .uhayani kuna watu wengi Tu wanafikia miaka 110 na mabibi kizee.kufa hakuna uhusiano na kabila la mtu wala nini.
Kama wahaya wanakufa Sana mbona wahaya sasa wanakaribia milion nane na ni moja ya makabila makubwa nchini Kwa idadi ya watu.
Je kuna uthibitisho wowote kuwa wahaya wanatoweka Duniani?eti kwa sababu ya kuchimba makaburi mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
uWahaya bwana kwa hiyo makaburi ya zamani yamepakwa rangi upya baada ya Ruge kufariki.
Wachuchu....beer vyote unaacha and so on so forthMali, magari kila kitu ana acha hapa duniani
Ila wanadamu,Mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Miamba na mawe ndiyo sababu ya kuchimba kaburi mara tu mtu anapofariki na kusubiri siku husika ya mazishi
Zamani ulikuwepo utaratibu wa kuchimba siku ya mazishi sasa kuna mahali walichimba zaidi ya mara 6 wanakutana na mwamba mpaka wakaahirisha kuzika
Ndipo wakabadili taratibu
Halafu punguza nyodo yaweza kuwa we ni kilaza kuliko wao
Sent using Jamii Forums mobile app
La Yesu halikuwa kaburi la kuchimbwa bali lilikuwa Pango!! Mapango yapo tu wazi ila baada ya kuzikwa walisukumia jiwe zito mlangoni ili asiibwe!!Acha ushamba wa Mila na tamaduni wew.mila zinatofautiana kulingana na kabila.uhayani kaburi unaweza hata jichimbia hata kabla hujafa.kuna koo nyingine zina makaburi Yao tayari sio chida
Pia utaratibu huu sio Kwa wahaya Tu Bali hata wayahudi( waisraeli) kumbuka Yesu alizikwa kwenye kaburi lililokuwepo tayari hivyo sio kitu cha ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo tena! Ila, jamaa zetu Waislamu, huwa hawana mbwembwe za msiba/mazishi kama sisi wakristo! Hapo utaona yametengenezwa mabango, khanga na ma-T-shirt kibao!
Wapo ambao watataka kumuaga lkn hawatakuwa na nafasi au wasaa kwenda kumzika Bukoba. No kwa nia njema!!Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Ni njia ya kila mmoja wetu!!Habari Imekwisha mkuu...
Sent from my Iphone using Tapatalk
Wachimbaji itakua hawataki apate nafasi ya kutoka endapo atafufuka...[emoji860][emoji860][emoji860]wamechimba refu sana, daaah noma sana[emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mikwara bana....usitutishe...hata kama tutakufa sio vema kuwa wanyonge....umundu gwamundu....Ndio kiburi cha mwanadamu kinapoishia hata uwe kama tofali au Jiwe shimo linatuusu. Hapo uwa na furahi wanaoshangilia wenzao kuonewa wakijua watabaki Duniani milele RIP kaka Ruge umetutangulia tu
Picha za jana makaburi yalikuwa hayana rangi na yalionekana machakavu,leo yamepigwa kitu white. Nshomile si wa mchezo mchezo.ha ha ha ha ha ha ha ha wewe jamaa god anakuona ha ha ha
Hahaaa nilikuwa Nawaza kuiona Emirates ikitua Bukoba air strip!!
Ukiliwa na Simba utakuwa umekufa kwa faida,nyama kuozea ardhini ni hasara!!
Mbona nyerere hakupelekwa butiama moja kwa moja. Hujachangia chochote huna undugu nae kaa kimya hayakuhusu. ACHA KUFANANISHA NYERERE NA VITU VYA KIJINGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
TUBADILIKE MAJUZI FAMILIA ILIKUA INAOMBA PESA ZA MATIBABU LEO HII MICHANGO LUKUKI YA MAZISHI INASAIDIA NINI?WATU WAPO PALE TANGU SIKU YA MSIBA WANAKULA TUU BORA RAMBI RAMBI ZISAIDIE KULIPA MADENI YA UGONJWA NA MAZISHI YASITAFUNE TENA PESA.TUKUMBUKE YA KANUMBA JINSI PESA ILIVYOTAFUNWA MAMA WA MAREHEMU AKABAKI MTUPUTatzo hakuna bt Ni suala la kutoa fursa ya kuaga mwili wake. Kwa majirani zake ,wafanya kazi wenzake pamoja wadau wengine maana jamaa ameishi Dar muda mrefu na itakuwa syo poa kuupelekeka mwili direct BK huku ukiacha kundi kubwa la watu Dar,Alafu si unajua BUKOBA syo Kama Moro au Tanga Ni zaidi ya KM 1000 unachezea lami hvyo itakuwa ngumu Kwa wadau kwenda huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo watu wa kijijini ulipozaliwa au wazazi wako ni wakupelekewa misiba tuu kuzika?Una umri gani?.mbona unauliza vitu vya wazi?
Msiba saivi upo Dar au Bk?
Nyumba ya Ruge aliokua anaishi iko Dar au Bk?
Company yake na wanafamilia wako Dar au Bk?
Kwa hadhi ya Ruge kijamii nahisi ataagwa Leaders pale
Naomba nikuache mana kusafirisha msiba si jambo geni kabisaa ktk jamii ya kitanzaniaKwa hiyo watu wa kijijini ulipozaliwa au wazazi wako ni wakupelekewa misiba tuu kuzika?
Endelea kusoma.Elimu haina mwisho"oya wewe mimi nimesoma ujue sio kilaza
Ishu ni kaburi au sio kaburi.hata kaburi ni shimo.lakini hatuiti shimo tunaita kaburi Kwa sababu ya maudhui husikaLa Yesu halikuwa kaburi la kuchimbwa bali lilikuwa Pango!! Mapango yapo tu wazi ila baada ya kuzikwa walisukumia jiwe zito mlangoni ili asiibwe!!