LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Iwe buju kaisiki nikonakwenda akanana kange nikushabaigonzi.Kwani wachaga hamfi sana .kaburi wala halina uhusiano na kifo cha mtu .uhayani kuna watu wengi Tu wanafikia miaka 110 na mabibi kizee.kufa hakuna uhusiano na kabila la mtu wala nini.
Kama wahaya wanakufa Sana mbona wahaya sasa wanakaribia milion nane na ni moja ya makabila makubwa nchini Kwa idadi ya watu.
Je kuna uthibitisho wowote kuwa wahaya wanatoweka Duniani?eti kwa sababu ya kuchimba makaburi mapema
Sent using Jamii Forums mobile app