Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Apumzike kwa amani kaka yetu.

Nini kilimsibu ruge jamani? Wengine wanasema alifariki 28 Nov 2018 dah

Apumzike kwa amani
 
Nyerere alikua binadamu kama wengine!!hana sifa hata moja ya umalaika!!!so nae ni wa kumfananisha tu ndo maana amekufa ,akazikwa,mavumbini!
Mbona nyerere hakupelekwa butiama moja kwa moja. Hujachangia chochote huna undugu nae kaa kimya hayakuhusu. ACHA KUFANANISHA NYERERE NA VITU VYA KIJINGA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Kwaio kama wanataka walisakafie litakua limekauka au unazungumzia makaburi traditional?
 
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Bongolala kwani iyo ndege wanakodi?

"Typed with my thumbs."
 
Back
Top Bottom