Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,515
Usishangae mkuu,hata jiwe na bashite wanaingia hapo,njia yetu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae mkuu,hata jiwe na bashite wanaingia hapo,njia yetu moja
[emoji3][emoji3][emoji3] wenyewe wanajua lakini?Usishangae mkuu,hata jiwe na bashite wanaingia hapo,njia yetu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuuuuu....... ! Nao hao WATAKUFA!??????Usishangae mkuu,hata jiwe na bashite wanaingia hapo,njia yetu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ni kama swali la kijinga hata mimi nimejiuliza kama weweHv kweli wanamzika dah....
Msiba wa Tanzanite auDuniani tuwe na kiasi mtu pekee ambaye anaweza asife ni huyu bwana MSIBA mana yeye watasema msiba wa msiba wakati msiba utaendelea kudumu
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]dahWahaya bwana kwa hiyo makaburi ya zamani yamepakwa rangi upya baada ya Ruge kufariki.
Mbona nyerere hakupelekwa butiama moja kwa moja. Hujachangia chochote huna undugu nae kaa kimya hayakuhusu. ACHA KUFANANISHA NYERERE NA VITU VYA KIJINGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya ndo maana huwa mnakufa sana mnaishia kusingizia ukimwi. Endeleeni kujifanya wazungu
AmeenDaaah!! Eti nami ipo siku nitafukiwa na udongo[emoji134][emoji134][emoji134]
Mungu nijaalie mwisho mwema.[emoji120]
Kwaio kama wanataka walisakafie litakua limekauka au unazungumzia makaburi traditional?Mila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Naona wameamua kuyapaka rangi makaburi hayo kuna picha fulani yalikua hayapo katika hali hio iliopo sasa hivi---View attachment 1034492View attachment 1034493View attachment 1034494
Sent from my Iphone using Tapatalk
HakikaKuzikwa ni kuzikwa pia muambie!!!maana anayezikwa kwenye mkeka na anayesakafiwa ngoma droo
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni kujengewa linaazwa usiku wa manane mpaka saa 4 limeshakamilikaKwaio kama wanataka walisakafie litakua limekauka au unazungumzia makaburi traditional?
Hao ndo wahaya,kumbe na wewe uliona eeeh? ILA HAPA NIMEMSIFU PROF WALAU KAJENGA KWAONaona wameamua kuyapaka rangi makaburi hayo kuna picha fulani yalikua hayapo katika hali hio iliopo sasa hivi
Amejenga ile nyumba ya nyumbani kwaio sio? Kwa kweli pako fresh kibongo bongo ila nilichokigundua aisee kama hauna mke ukifariki msiba wanaupeleka nyumbani kwa wazazi wako unakua kama mtoto mdogo amefariki...Hao ndo wahaya,kumbe na wewe uliona eeeh? ILA HAPA NIMEMSIFU PROF WALAU KAJENGA KWAO
Bongolala kwani iyo ndege wanakodi?Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Yaeza ikawa matendo yako yamemridhisha MUNGU zaid kuliko hata huyo unae muhusudu