PreGE2025 PICHA: Kada wa CHADEMA Upendo Kileo ateswa na kutupwa Msituni baada ya kufuatilia Kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni muhimu kuenda kufungua kesi na kama anawashuku wapo awataje ,halafu huyo ndugu zake ni majeshi tena na vyeo sasa sijui itakuwaje.
Hao ndugu zake wa jeshi wenye vyeo hapo hawawezi kusogeza hata pua zao wanaogopa ugali kumwagika
 
Kweli kabisa.Kibibi kama hiki kikae nyumbani kulea wajukuu anahangaika mitaani
 
Samia hivi huyo binti yako mke wa Mchengerwa angepigwa na polisi namna hii ungejisikiaje? Huyu ni mwanamke kama mwanao na bado unawaamlisha polisi waje kuua na kutesa wananchi!! Wewe Kweli unastahili kuendelea kuwa Rais mwenye wajibu wa kuwalinda raia na mali zao?
Je hizi ndio siasa zako za kistaarabu?
 
Kibibi kizee kama hiki kisichokaa nyumbani kikalea wajukuu anahangaika mitaani
 
Kweli kabisa.Kibibi kama hiki kikae nyumbani kulea wajukuu anahangaika mitaani
ni aibu kwa familia yake yote pamoja na majirani zake,

Just imagine jirani anaenda kumjulia hali na kumuuliza huyo kulikoni jirani uko hivyo, halafu ajibu alihamasishwa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria na joni heche kisutu kisha akajikuta tu yuko mabwepande?

inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise πŸ’
 
Kinin
KIbibi kizee badala ya kulea wzjukuu anahangaika mitaani
 
Tena ni kibibi kizee.Badala ya kulea wajukuu yeye yupo mitaani.Asema anafuatilia kesi.Kesi ya nini?
 
Kupigwa Lissu ilisemwa ni wao kwa wao,huyu ni wao kwa wao,kwanini maafis a usalama wasijisafishe kwa kuwaburuza hao watu mahakamani?
Mzee Kibao wao kwa wao,Azory wao kwa wao,Ben Rabiu Saa8 hivyohivyo, kweli chama kinashinda intelijensia SERIKALI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…