Picha: Kajala na utajiri wa kutisha

Teh teh teh nyumba iko Sinza Mugabe na hajapanga ghorofa nzima ye kapanga juu na chini anakaa mtu mwingine anaitwa Tamimu. Nyuma ya hiyo ghorofa kuna nyumba nyingine ndogo imepangishwa kifupi ni Apartments

Sent from my iPad Air using JamiiForums

Nimekupenda buree binamu, yani hawa gpl ni waongo jaman na wanapenda ku exaggerate mambo mbwa hawa, mfyuu eti ghorofa
 
hio ml3.2 ngeiweka mwaka angepata kutengeneza k2 cha maana

Hiyo mil3.2 ni ya nn tena, apa unataka kufunguka kitu, tafadhal ebu kiseme maana apa nipo hoi mapigo ya moyo yanaenda mbio, ebu funguka kabla pressure haijanipanda binamu yangu.
 
Maamuzi yake kujielezea kwetu juu ya namna kapata hela alizonazo. .maisha yake..anaamua aseme au.asiseme nini?

Wala sio maamuzi yake, yeye ni star tena kioo cha jamii, inabid jamii iige kutoka kwake, kuna watu wanataka kuwa kama kajala, so its better akafunguka kuhusu scandal mbali mbali anazoshutumiwa, maana yeye ni kioo cha jamii, hayo mambo ya kuwa tajiri wala asijisumbue kuelezea maana hadi akina babu zangu kule kimbiji wanajua pesa kazitoa wapi, nazungumzia scandal nyingine
 
Kapanga gorofa ya juu chini kuna mtu mwingine na hiyo kodi ni ya jengo zima hivyo wanaigawana nusu kwa nusu na yule mpangaji wa chini.
Huyo mbona taarifa zake zinafahamika kuwa siku za hv karibuni amekua akipeleka sembe ughaibuni?
 
Yereuwiiii, Dinazarde embu njoo uku upate supu ya ulimi na chapat mbili, kimbia fastaa

Wee? Halafu nahis k nae atakuwa punda, we bwana gan huyo akuhonge pesa zote hizo jaman? Mmh
 
Last edited by a moderator:
si lazima..bado ni maamuzi yake kuzungumzia au kutokuzungumzia..na its better akapiga kimya tu
 
Binamu wivu huo, mwenzio kashasema ana miradi na biashara zake, uku pia filamu zinamlipa
Binamu bwana sasa hapa mimi na wewe nani mbea,ila wanasema mjini mipango hatuwezi jua vyanzo vyake vya mapato

Yereuwiiii, Dinazarde embu njoo uku upate supu ya ulimi na chapat mbili, kimbia fastaa

Wee? Halafu nahis k nae atakuwa punda, we bwana gan huyo akuhonge pesa zote hizo jaman? Mmh
 
Last edited by a moderator:
yaani hawa hata siwaelewagi....wakipata tatizo utaona wanaanza kutembeza bakuli la michango.
 
Tajiri anapanga??!!!
Anunue au anyanyue cha kwakwe tupime uzito wa hela yake.
 
Walimwengu watamuua Kajala eeeeh.
 
Yereuwiiii, Dinazarde embu njoo uku upate supu ya ulimi na chapat mbili, kimbia fastaa

Wee? Halafu nahis k nae atakuwa punda, we bwana gan huyo akuhonge pesa zote hizo jaman? Mmh

Hizo ofisi zao zinatoa filamu zipiii hhhhhaaaaaaa mi ningekua Kajala ningemrudishia Wema zile milion 13 ili amani iwepoo kabisaaa maana Wema kafuliaajeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Hizo ofisi zao zinatoa filamu zipiii hhhhhaaaaaaa mi ningekua Kajala ningemrudishia Wema zile milion 13 ili amani iwepoo kabisaaa maana Wema kafuliaajeeeeee

MAmA ubaya sasa ivi yupo busy et anampikia ndomo, kwel kafulia had anajitangaza anavyopika wakat zaman full kula bata hotelin
 
Hii nyumba kama ya Masanja wa Ze Comedy
 
MAmA ubaya sasa ivi yupo busy et anampikia ndomo, kwel kafulia had anajitangaza anavyopika wakat zaman full kula bata hotelin

Usiombe uwe na pesa halaf ufulieeee na badoo, ,,hivi binamu bado pale kwake watu wamejaa kama zamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…