Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Duh!
We ni noma!
Nooma sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!
We ni noma!
Ivi kukaa Gorofani pia niutajiri eeh? amemlipa vile Wema hela yake alomtolea jela? au kama ana pesa kwanini akodi nyumba asinunue yake? au ndio masharti ya hizo MIHELA aka UTAJIRI?AMA kweli fedha mwanaharamu ! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo ( fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala Masanja Kay , umekosea sana kwani upepo umegeuka.
Habari za ufukunyuku zinadai kwamba, kwa utajiri alionao kwa sasa , Kajala anaweza kudiriki kumwajiri Wema kama kisemavyo chanzo.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na wote kwa maana ya kutafuna pande zote , mwigizaji huyo ambaye enzi za ushosti wake na Wema alikuwa akionekana kama kijakazi, sasa fedha imemtembelea kiasi cha kutosha wakati mwenzake kwa bahati mbaya eti anatembelea ringi .
Chanzo kilisema kwamba Kajala kwa sasa ana maisha ya kitonga , amepanga kwenye nyumba nzuri ya ghorofa , ana kampuni yake ya filamu ( KAY Entertainment ) , magari manne, anatembea na wapambe ( walinzi) huku akaunti yake benki ikiwa imetuna.
Kajala ameonesha jeuri ya fedha . Ametoka katika nyumba ya kawaida sasa analala angani. Kwa taarifa yenu amepanga ghorofa nzima maeneo ya Sinza -Madukani jijini Dar .
Yupo vizuri, anamiliki ofisi kubwa ya kuzalisha sinema, magari mawili ya ofisi pamoja na magari mawili ya kutembelea ( Brevis na Harrier ) na anaishi katika nyumba anayolipa kodi kwa mwezi dola 2, 000 ( zaidi ya Sh . milioni 3.2 ) , kilidai chanzo hicho na kudai kwamba si mbaya Kajala akamkumbuka mwenzake hata kwa kumwajiri kwenye kampuni yake . Pichani ni mjengo ambao Kajala Masanja amepanga .
KAJALA AMEHONGWA ?
Akizungumza na waandishi wetu , Kajala alisema anamshukuru Mungu kwani fedha hizo amezizalisha kupitia kazi zake pamoja na biashara mbalimbali alizokuwa akizifanya ,hajahongwa na mtu yeyote .
Sijahongwa na mtu yeyote , kila mtu ana akili zake katika kutafuta fedha , nafanya biashara huku nikiigiza sinema zangu na Mungu amenijalia mambo yanakwenda vizuri, alisema Kajala .
Kuhusu kumwajiri staa mwezake huyo, Kajala hakutaka kulizungumzia hilo.
WEMA HALI IPOJE ?
Utafiti umeonesha Wema ambaye alikuwa akimiliki magari kadhaa likiwemo la kufanyia kazi za sinema, kwa sasa amebakiwa na gari moja tu ambalo ni Toyota Harrier . Kama hiyo haitoshi , ilidaiwa kuwa hata akaunti benki haijanona na hata wapambe wa kutembea naye wameyeyuka.
Utafiti uliofanywa na Ijumaa Wikienda umebaini kwamba Wema aliyemlipia Kajala Sh . milioni 13 asiende jela mwaka jana,ambaye kipindi kifupi kilichopita alikuwa na kampuni ya kuzalisha sinema, wapambe,akaunti iliyonona benki , magari ya kifahari ya kutembelea na samani nyingine , nyingi zimepotea kama si kuyeyuka kabisa .
WEMA ATAFUTWA
Ili kutaka kujua anazungumziaje challenge hiyo ya kudaiwa kuporomoka kiuchumi,wanahabari wetu walimtafuta Wema kwa siku tatu mfululizo lakini hakupatikana huku simu yake ikiita muda mrefu bila kupokelewa.
Ivi kukaa Gorofani pia niutajiri eeh? amemlipa vile Wema hela yake alomtolea jela? au kama ana pesa kwanini akodi nyumba asinunue yake? au ndio masharti ya hizo MIHELA aka UTAJIRI?
mie naona kama huyo Kalaja anayo hiyo pesa na anafanya upuuzi huo hakuna tofauti ya yeye na wema,hawasemani wala hawachekani na hizo gari 4 zina thamani ya Billioni ngapi vile? lol asituchoshe sie mwenye nacho hasemi...........
hapana chezeiya papuchi! ni asset tosha kwa wenye akili zake!Duh! Yaani miezi kadhaa tu iliyopita ilibidi alipiwe faini ili asiende jela, leo hii mara ameshakuwa tajiri wa kutupwa!!!
Wabongo hatutaendelea siku zote, sasa kama kweli huyu kajala ana hizo pesa si tumuone akifanya mambo ya maana km vile kujenga, kifanya business zenye tija achana na hiyo kampuni ya sinema ambayo hata filamu zake hatuzioni, alafu ubaya wetu ni pale tunapopata pesa na kutaka kila mtu ajue kwa sababu tunaanza misifa kibao, full wapambe wasio na maana
NI UJINGA TU (ni mtazamo wangu jamani)
Duh! Yaani miezi kadhaa tu iliyopita ilibidi alipiwe faini ili asiende jela, leo hii mara ameshakuwa tajiri wa kutupwa!!!
Pesa ambazo hujazitolea jasho huwez kuzifanyia mambo ya maana
Kuuuuumbeee!! Na vile showroom yake kiwango basi ni sheeeeedah!hapana chezeiya papuchi! ni asset tosha kwa wenye akili zake!
Haya Matajiri wa bongo kupanga gorofani ndiyo utajiri
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
AMA kweli fedha mwanaharamu ! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo ( fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala Masanja Kay , umekosea sana kwani upepo umegeuka.
Habari za ufukunyuku zinadai kwamba, kwa utajiri alionao kwa sasa , Kajala anaweza kudiriki kumwajiri Wema kama kisemavyo chanzo.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na wote kwa maana ya kutafuna pande zote , mwigizaji huyo ambaye enzi za ushosti wake na Wema alikuwa akionekana kama kijakazi, sasa fedha imemtembelea kiasi cha kutosha wakati mwenzake kwa bahati mbaya eti anatembelea ringi .
Chanzo kilisema kwamba Kajala kwa sasa ana maisha ya kitonga , amepanga kwenye nyumba nzuri ya ghorofa , ana kampuni yake ya filamu ( KAY Entertainment ) , magari manne, anatembea na wapambe ( walinzi) huku akaunti yake benki ikiwa imetuna.
Kajala ameonesha jeuri ya fedha . Ametoka katika nyumba ya kawaida sasa analala angani. Kwa taarifa yenu amepanga ghorofa nzima maeneo ya Sinza -Madukani jijini Dar .
Yupo vizuri, anamiliki ofisi kubwa ya kuzalisha sinema, magari mawili ya ofisi pamoja na magari mawili ya kutembelea ( Brevis na Harrier ) na anaishi katika nyumba anayolipa kodi kwa mwezi dola 2, 000 ( zaidi ya Sh . milioni 3.2 ) , kilidai chanzo hicho na kudai kwamba si mbaya Kajala akamkumbuka mwenzake hata kwa kumwajiri kwenye kampuni yake . Pichani ni mjengo ambao Kajala Masanja amepanga .
KAJALA AMEHONGWA ?
Akizungumza na waandishi wetu , Kajala alisema anamshukuru Mungu kwani fedha hizo amezizalisha kupitia kazi zake pamoja na biashara mbalimbali alizokuwa akizifanya ,hajahongwa na mtu yeyote .
Sijahongwa na mtu yeyote , kila mtu ana akili zake katika kutafuta fedha , nafanya biashara huku nikiigiza sinema zangu na Mungu amenijalia mambo yanakwenda vizuri, alisema Kajala .
Kuhusu kumwajiri staa mwezake huyo, Kajala hakutaka kulizungumzia hilo.
WEMA HALI IPOJE ?
Utafiti umeonesha Wema ambaye alikuwa akimiliki magari kadhaa likiwemo la kufanyia kazi za sinema, kwa sasa amebakiwa na gari moja tu ambalo ni Toyota Harrier . Kama hiyo haitoshi , ilidaiwa kuwa hata akaunti benki haijanona na hata wapambe wa kutembea naye wameyeyuka.
Utafiti uliofanywa na Ijumaa Wikienda umebaini kwamba Wema aliyemlipia Kajala Sh . milioni 13 asiende jela mwaka jana,ambaye kipindi kifupi kilichopita alikuwa na kampuni ya kuzalisha sinema, wapambe,akaunti iliyonona benki , magari ya kifahari ya kutembelea na samani nyingine , nyingi zimepotea kama si kuyeyuka kabisa .
WEMA ATAFUTWA
Ili kutaka kujua anazungumziaje challenge hiyo ya kudaiwa kuporomoka kiuchumi,wanahabari wetu walimtafuta Wema kwa siku tatu mfululizo lakini hakupatikana huku simu yake ikiita muda mrefu bila kupokelewa.
Chezea safari za Macau.
zile trip za first class
si mchezo.another billionaire in town.zebras za mwizi arobaini.wamama
wanalia vijana wanapotea nyie mnapeta.lakini mungu si athuman!
Sio clement kwel huyo?