Picha: Kajala na utajiri wa kutisha

Picha: Kajala na utajiri wa kutisha

Usiombe uwe na pesa halaf ufulieeee na badoo, ,,hivi binamu bado pale kwake watu wamejaa kama zamanii

Zaman alikuwa na kampuni ambayo aliajiri vijana wengi sana, so nyumba yake ilikuwa haikauki watu yani full bata, kila sehemu mama ubaya yupo na wapambe wake, sasa ivi ukienda pale kwake unakuta kimya kma hayupo na cheus dawa bas yupo pek yake, chezeya pesa weye
 
Hhhhhhaaaa hivi na Martin na petiti na rommy wanaishi hapo hapo au wanaendagapo tuu,siku hizi kula bata mpaka fiesta sioniii yale mambo ya Wema kaenda wapii duuu safarii zimeishaaa eee
 
Acha watoto wale mema ya nchii..kajala kula maisha aisee
 
Namaanisha tuongelee vitu sio mtu.kutwa kajala na wema.bora kidogo wema kwa sababu yupo fresh hana ugomvi na mtu.

Kuna jukwaa la kuongelea vitu linaitwa matangazo madogo madogo kule kuna vitu vya kila aina nenda kulee
Halaf hapa ukimsifia huyo mama ubaya utakula ban unasikiaa
warumi
 
Last edited by a moderator:
Kuna jukwaa la kuongelea vitu linaitwa matangazo madogo madogo kule kuna vitu vya kila aina nenda kulee
Halaf hapa ukimsifia huyo mama ubaya utakula ban unasikiaa
warumi

MWAche ajishaue apa, yeye kama ana majanga yake akaondoe stress kule jukwaa la dini ,
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhaaaa hivi na Martin na petiti na rommy wanaishi hapo hapo au wanaendagapo tuu,siku hizi kula bata mpaka fiesta sioniii yale mambo ya Wema kaenda wapii duuu safarii zimeishaaa eee

Mmh!! Martin kajenga kwa baba yake sinza, huyo pet nae haelewek, rommy kila siku namuona kwa ndomo nahis wanaish wote
 
MWAche ajishaue apa, yeye kama ana majanga yake akaondoe stress kule jukwaa la dini ,

Wee kule jukwaa lakini Khataan unadhan ataliwezaaaa huko na ban ataipata
 
ahhhaha..

Diamond usimfanyie hivo wema bhana..
Kumbuka aliachana na clement ili arudiane na wewe ndo mpunga ukakata..
 
Hongera bilionea kajala.
Halafu wa Arusha wakiitwa mabilionea mnaponda.Huyu amepanga sijui Sinza huko ndo tajiri wa kutisha!

Sidhani kama utajiri wa kutisha utakuwa anything less than a billionaire!

Wabongo bana!
 
Hongera,japo fikiria kimiliki nyimba sasa maana hiyo hela kwa.mwaka ni kama 36m so hop ungefanya ujenzi japo kidogo.lakin hatujui nn malengo yako.otherwise wish u all the best
 
Back
Top Bottom