Usiombe uwe na pesa halaf ufulieeee na badoo, ,,hivi binamu bado pale kwake watu wamejaa kama zamanii
Zaman alikuwa na kampuni ambayo aliajiri vijana wengi sana, so nyumba yake ilikuwa haikauki watu yani full bata, kila sehemu mama ubaya yupo na wapambe wake, sasa ivi ukienda pale kwake unakuta kimya kma hayupo na cheus dawa bas yupo pek yake, chezeya pesa weye
Yaani hapa ni umbea mtupu inabidi tusiongelee watu .
We ongelea miti sie twaongelea watu bana
Namaanisha tuongelee vitu sio mtu.kutwa kajala na wema.bora kidogo wema kwa sababu yupo fresh hana ugomvi na mtu.
Kuna jukwaa la kuongelea vitu linaitwa matangazo madogo madogo kule kuna vitu vya kila aina nenda kulee
Halaf hapa ukimsifia huyo mama ubaya utakula ban unasikiaa
warumi
Hhhhhhaaaa hivi na Martin na petiti na rommy wanaishi hapo hapo au wanaendagapo tuu,siku hizi kula bata mpaka fiesta sioniii yale mambo ya Wema kaenda wapii duuu safarii zimeishaaa eee
MWAche ajishaue apa, yeye kama ana majanga yake akaondoe stress kule jukwaa la dini ,
Halafu wa Arusha wakiitwa mabilionea mnaponda.Huyu amepanga sijui Sinza huko ndo tajiri wa kutisha!Hongera bilionea kajala.