Picha: Kajala na utajiri wa kutisha

Kama ana hela akamgomboe mumewe segerea wale matunda pamoja
 
Ivi kukaa Gorofani pia niutajiri eeh? amemlipa vile Wema hela yake alomtolea jela? au kama ana pesa kwanini akodi nyumba asinunue yake? au ndio masharti ya hizo MIHELA aka UTAJIRI?
mie naona kama huyo Kalaja anayo hiyo pesa na anafanya upuuzi huo hakuna tofauti ya yeye na wema,hawasemani wala hawachekani na hizo gari 4 zina thamani ya Billioni ngapi vile? lol asituchoshe sie mwenye nacho hasemi...........
 

Pesa za umalaya toka lini zikamtajilisha mtu?
 
Duh! Yaani miezi kadhaa tu iliyopita ilibidi alipiwe faini ili asiende jela, leo hii mara ameshakuwa tajiri wa kutupwa!!!
hapana chezeiya papuchi! ni asset tosha kwa wenye akili zake!
 
Wabongo hatutaendelea siku zote, sasa kama kweli huyu kajala ana hizo pesa si tumuone akifanya mambo ya maana km vile kujenga, kifanya business zenye tija achana na hiyo kampuni ya sinema ambayo hata filamu zake hatuzioni, alafu ubaya wetu ni pale tunapopata pesa na kutaka kila mtu ajue kwa sababu tunaanza misifa kibao, full wapambe wasio na maana
NI UJINGA TU (ni mtazamo wangu jamani)
 

Pesa ambazo hujazitolea jasho huwez kuzifanyia mambo ya maana
 
I still do not understand waandishi kama huyu wanapataje ajira. nonsense xuuuuu
 


Mambo ya KIPOCHI MANYOYA hayooo , Si unajua Mtaji wa mwanamke ni K yake mwenyewe.....!
 
Chezea safari za Macau.

zile trip za first class si mchezo.another billionaire in town.zebras za mwizi arobaini.wamama wanalia vijana wanapotea nyie mnapeta.lakini mungu si athuman!
 
kwani na huyu nae ni punda???eeh Mungu baba wasimamie watoto wetu bila mkono wako hawawezi
zile trip za first class
si mchezo.another billionaire in town.zebras za mwizi arobaini.wamama
wanalia vijana wanapotea nyie mnapeta.lakini mungu si athuman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…