Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wote wamevaa red!Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Mwamba aje mtaani sasa tuchape kazi, na uzuri yule muhuni mkuu hayupo kwa sasa mambo yatasonga, muhimu tujue hili taifa ni letu sote, chochote tufanyacho kiwe kwenye nia njema ya kujenga nchi yetu, hakuna aliyekamilikaMungu ni mwema sana kwao kweli
Red is LoveMbona wote wamevaa red!
Upendo kwa watesiMbona wote wamevaa red!
Kazi ya kudai Katiba Mpya itakuwa nyepesi Kwa sasa kwa sababu ya wadau wengi kuona umuhimu huo..Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Mbowe is a smart guy, usiwe na haraka! Kuna kasafari kwanza ka Ikulu hizi siku chache zijazoAnahitubia taifa lini?
Samia hana shida na hii kitu, lakini mazingira ambayo aliipokea nchi alihitaji muda, sasa sijui ni kitu gani kigumu kuelewa hiloKazi ya kudai Katiba Mpya itakuwa nyepesi Kwa sasa kwa sababu ya wadau wengi kuona umuhimu huo..
Makamu wa Rais adai Katiba Mpya
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema ameandaa waraka wa mapendekezo tisa kwa ajili ya kuimarisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa na kuyawasilisha kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi.www.ippmedia.com
Ila ameisha sana tusimumunye manenoPicha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Yaani Kumbe hawa Makomando ni vijana wadogo hivyo na hata miili yao... Mbowe na uzee anaelekea nyuko fit.Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Kwa hiyo kwa sasa anakubali wananchi waijadili Katiba kwa Uhuru?Samia hana shida na hii kitu, lakini mazingira ambayo aliipokea nchi alihitaji muda, sasa sijui ni kitu gani kigumu kuelewa hilo
We love ❤ you guysPicha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799