Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Siasa ni SAYANSI!Katika sakata hili la Mbowe,mshindi ni serikali kwa sababu malengo ya kumzuia Mbowe kuichanganya serikali mpya ya Samia mara tu baada ya kuipokea kutoka kwa marehemu Magu,yalifanikiwa.Miezi takribani 9 aliyokaa Mbowe mahabusu ilitosha kabisa kwa serikalini mpya kujiweka sawa katika majukumu yake bila ya presha ya upinzani. Hakika CCM wanajua namna sahihi ya kudili na presha za upinzani kiintelijensia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu na hongera kwa serikali ya CCM kwa huo ushindi.
 
Kuna watu wamefanya kazi njema iliyotukuka, Mbowe ametoka. Maadili hayaruhusu to go into details. Huko mbeleni wakati muafaka, historia itawekwa bayana namna mambo yalivyokwenda. Ili watu wajifunze.
Pole mkuu, taratibu utaizoea hii hali ambayo hukuitarajia na utarudi kwenye hali yako.
 
Kuna mjinga mmoja anajiita Comte huwa anajifanya lawyer kumbe mtupu kichwani
 
Kuna watu wamefanya kazi njema iliyotukuka, Mbowe ametoka. Maadili hayaruhusu to go into details. Huko mbeleni wakati muafaka, historia itawekwa bayana namna mambo yalivyokwenda. Ili watu wajifunze.
Waaapiii. Aibu na maumivu
 
Kudai katiba si kosa Chief, ila kwa sasa natamani Mbowe aongoze movement ya tofauti kidogo, si ile ya kuipiga mikwara serikali
[emoji12] tuko sawa! Aachane na ukorofi tujenge nchi! Maagizo kayapata lakini
 
Back
Top Bottom