Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Huyo mwamba Black kulia,sura yake inasema mengi mno ya moyoni.
Moja wapo nadhani hata endelea tena na hrkt zozote za kisiasa .
 
Huyo mwamba Black kulia,sura yake inasema mengi mno ya moyoni.
Moja wapo nadhani hata endelea tena na hrkt zozote za kisiasa .
Umekosea na humjui aisee
 
Hao makomando kimsingi wataendelea kumlinda Mbowe unless one of the condition ya kuwaachia ilikuwa nao warusi kambini wakajadiliwe huko au vipi
 
Mbowe ni smart najua hawezi waacha Hawa vijana komandos bila ramani ya maana
 
Mwamba aje mtaani sasa tuchape kazi, na uzuri yule muhuni mkuu hayupo kwa sasa mambo yatasonga, muhimu tujue hili taifa ni letu sote, chochote tufanyacho kiwe kwenye nia njema ya kujenga nchi yetu, hakuna aliyekamilika
Ni muda kitambo, hata sikumbuki kama ni wewe yule yule au mwingine.

Kama ni wewe yule yule niliyekuwa namhimiza "AIPENDE TANZANIA" kikweli kweli, basi ninakupa pongezi nyingi kwa mabadiliko hayo uliyoyafanya kama inavyoonyesha katika mistari uliyoandika hapa.

Kama ni mwingine, hakuna shida, ipende tu Tanzania yetu.
 
Sawa
Waende Home Wakapumzike Zao
Kingai, Mahita, Urio Na Wengine Tanzania Unahitaji Kustawi
 
Sasa mje tena kuanza kudai katiba eenh! Muone kilichomtoa nyoka pangoni
Kudai katiba si kosa Chief, ila kwa sasa natamani Mbowe aongoze movement ya tofauti kidogo, si ile ya kuipiga mikwara serikali
 
Back
Top Bottom