Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Kwa hiyo kwa sasa anakubali wananchi waijadili Katiba kwa Uhuru?
Ni suala la muda tu! Wewe unaonaje hali ya dunia kwa sasa? Inaruhusu kuingia kwenye mjadala mzito wa Katiba mpya?
 
Kama ambavyo mamako alivyokuwa changudoa angeacha kukuzaa aendelee na uchangu
Weeerrrr,tumeshajua kuwa kumbe mama yako alikuwa changudoa,nipatie namba zake basi nikamalizane nae,mi machangu kama mamako ndio pigo zangu mjomba
 
Dunia inahusika vipi na katiba yetu?
Hatuishi kwenye kijiji Chief, ndiyo maana Corona ilianzia China lakini mwisho wa siku ikasumbua dunia nzima, Vita vinapigwa Ulaya lakini hata huku kwetu vinatuathiri, Katiba mpya ili ipatikane lazima pande zote zikubali, na wadau muhimu zaidi ni Serikali na chama tawala, ukipinga hilo basi wewe ni mnazi tu
 
Nani anaijua Tanzania boss, yaani kwenye hivi vita hao vinaowahusu wala hawajui kuwa kuna nchi inaitwa Tanzania. Isitoshe hata kwenye kura tulikwepa kupiga, hivyo hatuhusiki kwa lolote na vita hivyo. Ni kweli serikali na ccm ni wadau kwenye katiba mpya, lakini sioni ni kwa vipi vita hivi vinaathiri upatikanaji wa hiyo katiba. Labda uniambie hizo nchi zenye vita ni sehemu ya upatikanaji wa hii katiba mpya.
 
Ishu kubwa kwa sasa duniani Mkuu ni uchumi, vita vinaathiri uchumi, Covid imeathiri uchumi, haijalishi TZ tunajulikana or not lakini bei ya mafuta ikipanda nasi inatusomba! In summary, Samia aliipokea nchi katika mazingira ambayo hayakutegemewa, na bosi wake aliiacha nchi vilevile kwenye hali ambayo iliwashangaza wengi, ulitegemea kuingia kwake tu aanze na zoezi la katiba mpya? In the first 6 months? Subira inahitajika
 
SSasa
Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.

View attachment 2138799
Sasa hapa naomba kuwajua makomandoo ni yupi? Huyo lingwenya hapo ndio yupi? Anaewajua mashujaa hawa atusaidie
 
Siasa ni SAYANSI!Katika sakata hili la Mbowe,mshindi ni serikali kwa sababu malengo ya kumzuia Mbowe kuichanganya serikali mpya ya Samia mara tu baada ya kuipokea kutoka kwa marehemu Magu,yalifanikiwa.Miezi takribani 9 aliyokaa Mbowe mahabusu ilitosha kabisa kwa serikalini mpya kujiweka sawa katika majukumu yake bila ya presha ya upinzani. Hakika CCM wanajua namna sahihi ya kudili na presha za upinzani kiintelijensia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu kubwa kwa sasa duniani Mkuu ni uchumi, vita vinaathiri uchumi, Covid imeathiri uchumi, haijalishi TZ tunajulikana or not lakini bei ya mafuta ikipanda nasi inatusomba! In summary, Samia aliipokea nchi katika mazingira ambayo hayakutegemewa, na bosi wake aliiacha nchi vilevile kwenye hali ambayo iliwashangaza wengi, ulitegemea kuingia kwake tu aanze na zoezi la katiba mpya? In the first 6 months? Subira inahitajika

Issue ya uchumi ndio imeanza sasa duniani baada ya Samia kuingia madarakani? Wakati Mbowe anakamatwa yalikuwa ni makongamano tu ya kudai katiba mpya. Kama makongamano na mikutano ni tatizo kwa ajili ya uchumi, mbona ccm na washirika wake wengine wanafanya na hakuna hilo tatizo la uchumi? Kama tatizo la katiba mpya ni muda mfupi aliokuwa Samia madarakani, nini kilimzuia huyo aliyekaa miaka 6? Unachojaribu kutetea hapa ni kuwa nchi haiongozwi kwa mipango, bali kwa utashi binafsi wa rais, ndio maana mambo yanafanyika kwa kuangalia rais anataka nini. Vinginevyo alipoingia Samia haikutakiwa kisingizio kuwa ndio kaingia madarakani. Acha nikubali hiki kisingizio chako cha muda, tuone kama kweli Samia atakubali hiyo katiba mpya.
 
Stuxnet the hater alipo anajamber jamber
Kuna watu wamefanya kazi njema iliyotukuka, Mbowe ametoka. Maadili hayaruhusu to go into details. Huko mbeleni wakati muafaka, historia itawekwa bayana namna mambo yalivyokwenda. Ili watu wajifunze.
 
Hao makomando kimsingi wataendelea kumlinda Mbowe unless one of the condition ya kuwaachia ilikuwa nao warusi kambini wakajadiliwe huko au vipi
Duuhh.. wewe uko mbali sana na hii kesi. Hao makomandoo walishatoka jeshini, sasa wakajadiliwe kambini kivipi? Pata stori nzima ya hii kesi ndugu. Ndiyo maana kuna baadhi ya watu wanasema Mbowe na wenzake "wamesamehewa" au "wameombewa msamaha", hii ni kutokana na kutokua na mlolongo wa kesi nzima na kujua ni kwa nini jamhuri imefikia hatua hiyo ya kutoa "Nolle prosequi"

Kufikia hatua hiyo imekua ni mtihani mkubwa sana kwa serikali hasa kwa kauli zilizokwisha kutolewa na IGP na Rais SSH mwanzoni mwa hii kesi.
 
Back
Top Bottom