Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.

View attachment 2138799
Kazi ya kudai Katiba Mpya itakuwa nyepesi Kwa sasa kwa sababu ya wadau wengi kuona umuhimu huo..
 
Samia hana shida na hii kitu, lakini mazingira ambayo aliipokea nchi alihitaji muda, sasa sijui ni kitu gani kigumu kuelewa hilo
 
Samia hana shida na hii kitu, lakini mazingira ambayo aliipokea nchi alihitaji muda, sasa sijui ni kitu gani kigumu kuelewa hilo
Kwa hiyo kwa sasa anakubali wananchi waijadili Katiba kwa Uhuru?
 
Naona yupo na waskaji zake,namsihi tu awape kazi nzuri ili kutunza heshima zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…