Kweli kabisa mungu atawalipiaWamepitia mengi sana hawa Watanzania wetu....hizi dhambi za kusingizia wengine uongo mbaya ni za kuepuka maana tunajichumia mikosi tu.
Pamoja Chief Bujibuji, muache kumnanga Mama yangu sasaWe love ❤ you guys
Ni suala la muda tu! Wewe unaonaje hali ya dunia kwa sasa? Inaruhusu kuingia kwenye mjadala mzito wa Katiba mpya?Kwa hiyo kwa sasa anakubali wananchi waijadili Katiba kwa Uhuru?
Weeerrrr,tumeshajua kuwa kumbe mama yako alikuwa changudoa,nipatie namba zake basi nikamalizane nae,mi machangu kama mamako ndio pigo zangu mjombaKama ambavyo mamako alivyokuwa changudoa angeacha kukuzaa aendelee na uchangu
AminaWalaniwe waliowaweka ndani kwa hila.
Ni suala la muda tu! Wewe unaonaje hali ya dunia kwa sasa? Inaruhusu kuingia kwenye mjadala mzito wa Katiba mpya?
Hatuishi kwenye kijiji Chief, ndiyo maana Corona ilianzia China lakini mwisho wa siku ikasumbua dunia nzima, Vita vinapigwa Ulaya lakini hata huku kwetu vinatuathiri, Katiba mpya ili ipatikane lazima pande zote zikubali, na wadau muhimu zaidi ni Serikali na chama tawala, ukipinga hilo basi wewe ni mnazi tuDunia inahusika vipi na katiba yetu?
Hii ni ya zamaniPicha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Hatuishi kwenye kijiji Chief, ndiyo maana Corona ilianzia China lakini mwisho wa siku ikasumbua dunia nzima, Vita vinapigwa Ulaya lakini hata huku kwetu vinatuathiri, Katiba mpya ili ipatikane lazima pande zote zikubali, na wadau muhimu zaidi ni Serikali na chama tawala, ukipinga hilo basi wewe ni mnazi tu
Ishu kubwa kwa sasa duniani Mkuu ni uchumi, vita vinaathiri uchumi, Covid imeathiri uchumi, haijalishi TZ tunajulikana or not lakini bei ya mafuta ikipanda nasi inatusomba! In summary, Samia aliipokea nchi katika mazingira ambayo hayakutegemewa, na bosi wake aliiacha nchi vilevile kwenye hali ambayo iliwashangaza wengi, ulitegemea kuingia kwake tu aanze na zoezi la katiba mpya? In the first 6 months? Subira inahitajikaNani anaijua Tanzania boss, yaani kwenye hivi vita hao vinaowahusu wala hawajui kuwa kuna nchi inaitwa Tanzania. Isitoshe hata kwenye kura tulikwepa kupiga, hivyo hatuhusiki kwa lolote na vita hivyo. Ni kweli serikali na ccm ni wadau kwenye katiba mpya, lakini sioni ni kwa vipi vita hivi vinaathiri upatikanaji wa hiyo katiba. Labda uniambie hizo nchi zenye vita ni sehemu ya upatikanaji wa hii katiba mpya.
Stuxnet the hater alipo anajamber jamberPicha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Sasa hapa naomba kuwajua makomandoo ni yupi? Huyo lingwenya hapo ndio yupi? Anaewajua mashujaa hawa atusaidiePicha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Hatimaye jamuhuri imepigwana kitu kizitoPicha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
View attachment 2138799
Toka tarehe 14 pia kamuuluzie na mkeo tarehe hiyo kwann mlivaaMbona wote wamevaa red!
Kwamba wamempenda?
Ishu kubwa kwa sasa duniani Mkuu ni uchumi, vita vinaathiri uchumi, Covid imeathiri uchumi, haijalishi TZ tunajulikana or not lakini bei ya mafuta ikipanda nasi inatusomba! In summary, Samia aliipokea nchi katika mazingira ambayo hayakutegemewa, na bosi wake aliiacha nchi vilevile kwenye hali ambayo iliwashangaza wengi, ulitegemea kuingia kwake tu aanze na zoezi la katiba mpya? In the first 6 months? Subira inahitajika
Duuhh.. wewe uko mbali sana na hii kesi. Hao makomandoo walishatoka jeshini, sasa wakajadiliwe kambini kivipi? Pata stori nzima ya hii kesi ndugu. Ndiyo maana kuna baadhi ya watu wanasema Mbowe na wenzake "wamesamehewa" au "wameombewa msamaha", hii ni kutokana na kutokua na mlolongo wa kesi nzima na kujua ni kwa nini jamhuri imefikia hatua hiyo ya kutoa "Nolle prosequi"Hao makomando kimsingi wataendelea kumlinda Mbowe unless one of the condition ya kuwaachia ilikuwa nao warusi kambini wakajadiliwe huko au vipi