Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

Hongera mkuu na hongera kwa serikali ya CCM kwa huo ushindi.
 
Kuna watu wamefanya kazi njema iliyotukuka, Mbowe ametoka. Maadili hayaruhusu to go into details. Huko mbeleni wakati muafaka, historia itawekwa bayana namna mambo yalivyokwenda. Ili watu wajifunze.
Pole mkuu, taratibu utaizoea hii hali ambayo hukuitarajia na utarudi kwenye hali yako.
 
Kuna mjinga mmoja anajiita Comte huwa anajifanya lawyer kumbe mtupu kichwani
 
Kuna watu wamefanya kazi njema iliyotukuka, Mbowe ametoka. Maadili hayaruhusu to go into details. Huko mbeleni wakati muafaka, historia itawekwa bayana namna mambo yalivyokwenda. Ili watu wajifunze.
Waaapiii. Aibu na maumivu
 
Kudai katiba si kosa Chief, ila kwa sasa natamani Mbowe aongoze movement ya tofauti kidogo, si ile ya kuipiga mikwara serikali
[emoji12] tuko sawa! Aachane na ukorofi tujenge nchi! Maagizo kayapata lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…