Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.

1591898621243.png
 
Huyo ni profesa anajipendekeza hivyo, je wasio na elimu inakuwaje? Mimi nashindwa kujua huu ujinga watanzania tulikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kuufanya uonekane, au ni ujinga wa fashion?
 
Huyo ni profesa anajipendekeza hivyo, je wasio na elimu inakuwaje? Mimi nashindwa kujua huu ujinga watanzania tulikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kuufanya uonekane, au ni ujinga wa fashion?
Akili za chadema walishajiset kwamba mtu akiwa anatekeleza wajibu wake kwa nafasi yake kama hivyo ni anajipendekeza.

Hizi akili haziwezi kuwasaidia ndugu zangu
 
Huyo ni profesa anajipendekeza hivyo, je wasio na elimu inakuwaje? Mimi nashindwa kujua huu ujinga watanzania tulikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kuufanya uonekane, au ni ujinga wa fashion?
Awamu hii ujinga imekuwa kigezo cha 'ulaji' ndio maana watu wameamua ku-expose 'utaahira' wao.
 
Tupunguze dhihaka
Yesu hayupo kwenye level za wanadamu
Tujue kutofautisha Mungu na Uungu wake.
Mungu utukufu wake huwa hashirikiani na mwanadamu au malaika au kiumbe mwingine yeyote
Ni vizuri kujua hiyo mipaka
Mwambie Lugola aliyemwita Magufuli Yesu ndani ya bunge huku wanaccm wakilipuka kwa shangwe , Hansard imerekodi Yesu mpya ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha siasa
 
Back
Top Bottom