Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

Huyo ni profesa anajipendekeza hivyo, je wasio na elimu inakuwaje? Mimi nashindwa kujua huu ujinga watanzania tulikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kuufanya uonekane, au ni ujinga wa fashion?

Angefanya Mbowe mngesema kamanda anashirikiana na wananchi ila kwa kuwa ni upande mwingine, mnatoa dharau za kishirikina na roho mbaya

Safari hii hamtaachwa salama.
 
Akili za chadema walishajiset kwamba mtu akiwa anatekeleza wajibu wake kwa nafasi yake kama hivyo ni anajipendekeza.

Hizi akili haziwezi kuwasaidia ndugu zangu

Mbona akiwa ofisini hapigi picha, au akiwa ofisini sio wajibu wake? Kweli mwanaume mzima unaweza kujipendekeza hivyo bila aibu. Inasikitisha lakini ndio hivyo.
 
Hawa wapuuzi wanavyojidhalilisha kwa huyo ******* mpaka aibu! kwa jinsi walivyokuwa desperate na TEUZI.

Water ministry permanent secretary Prof Kitila Mkumbo takes part in the digging of a tunnel in which to lay a pipe to supply water to Chato airport in Geita Region, as captured yesterday. Photo: Correspondent Mohamed Saif

View attachment 1477524
 
Hata wangekuja scotland yard bado wangetoa ripoti yenye kufanana na hiyo tukubali ukweli!

Hiyo sio ripoti ya polisi bali ni Majungu ya siasa chafu. Scotland yard hawana muda wa kutumikia siasa chafu. Na kwa taarifa yako wangekuja, wangetoa mpaka majibu ya Tundu Lissu. Yaani wangetoa two in one, tena kwa usahihi.
 
Hiyo sio ripoti ya polisi bali na Majungu ya siasa chafu. Scotland yard hawana muda wa kutumikia siasa chafu. Na kwa taarifa yako wangekuja, wangetoa mpaka majibu ya Tundu Lissu. Yaani wangetoa two in one, tena kwa usahihi.
Tundu Lissu kagoma mwenyewe!
 
Back
Top Bottom