Usipomfurahisha mfalme Nero utakiona cha mtema kuni...
Akili za chadema walishajiset kwamba mtu akiwa anatekeleza wajibu wake kwa nafasi yake kama hivyo ni anajipendekeza.Huyo ni profesa anajipendekeza hivyo, je wasio na elimu inakuwaje? Mimi nashindwa kujua huu ujinga watanzania tulikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kuufanya uonekane, au ni ujinga wa fashion?
Tupunguze dhihakaAiseeee !!! " Yesu " oyeeee !!
Awamu hii ujinga imekuwa kigezo cha 'ulaji' ndio maana watu wameamua ku-expose 'utaahira' wao.Huyo ni profesa anajipendekeza hivyo, je wasio na elimu inakuwaje? Mimi nashindwa kujua huu ujinga watanzania tulikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kuufanya uonekane, au ni ujinga wa fashion?
Mwambie Lugola aliyemwita Magufuli Yesu ndani ya bunge huku wanaccm wakilipuka kwa shangwe , Hansard imerekodi Yesu mpya ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha siasaTupunguze dhihaka
Yesu hayupo kwenye level za wanadamu
Tujue kutofautisha Mungu na Uungu wake.
Mungu utukufu wake huwa hashirikiani na mwanadamu au malaika au kiumbe mwingine yeyote
Ni vizuri kujua hiyo mipaka
AiseeeeMwambie Lugola aliyemwita Magufuli Yesu ndani ya bunge huku wanaccm wakilipuka kwa shangwe , Hansard imerekodi Yesu mpya ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha siasa
Usitaje jina la Yesu hovyo hovyo kuwa na heshimaAiseeee !!! " Yesu " oyeeee !!