Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato



Mkandarasi anapata tender ya tsh 300 billion, halafu hata ka excavator ambacho eBay kinauzwa $10000 hamiliki yaani kuna watu bado wanachimba kwa koleo dunian mpaka leo.
 
Akili za chadema walishajiset kwamba mtu akiwa anatekeleza wajibu wake kwa nafasi yake kama hivyo ni anajipendekeza.

Hizi akili haziwezi kuwasaidia ndugu zangu
Kweli wajibu wa katibu mkuu ni kuchimba mitaro?
 
Mbona akiwa ofisini hapigi picha, au akiwa ofisini sio wajibu wake? Kweli mwanaume mzima unaweza kujipendekeza hivyo bila aibu. Inasikitisha lakini ndio hivyo.
Vipi kama Lema angeonekana kapiga picha anafanya kitu fulani katika jamii nayo ingekuwa kujipendekeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…