supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Yap!! Kweli ni photoshopPhotoshop
-Ingependeza zaidi ikiwa hivyo
-Sio Diamond Platnumz ni picha ya NEYO
-Wametoa kichwa cha Neyo wameweka cha Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap!! Kweli ni photoshopPhotoshop
Ingependeza sana aisee. Hope siku moja itatokea huko mbele ya safariYap!! Kweli ni photoshop
-Ingependeza zaidi ikiwa hivyo
-Sio Diamond Platnumz ni picha ya NEYO
-Wametoa kichwa cha Neyo wameweka cha Diamond
View attachment 447018
View attachment 447020
Sijelewa
Unataka nikujibuje!!?
-Supermarket a/c hacked[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu ka hack account ya supermarket anataka kutugombanisha au mwenye account leo haja amka vizuri ana taka ku pick fights.
Asee nimeenda kwanza nashukuru kwa kumbukumbu kubwa uliyo nayo.Angalia video ya Tunda man, starehe gharama, wote wapo mule kwenye kochi moja
Teh tehMjinga mwenyewe
Wapi nimeonesha mahaba apo!?
Hujui leo kanipa password zake, lazma nikukomesheKuna mtu ka hack account ya supermarket anataka kutugombanisha au mwenye account leo haja amka vizuri ana taka ku pick fights.
-Imani yao inawatuma wakiwa na ugomvi/tofauti ndo watafanya ushindani katika soko la mziki (kama vile ni masharti ya mganga[emoji1] [emoji1])Ingependeza sana aisee. Hope siku moja itatokea huko mbele ya safari
Nawaangalia tuuSijelewa
Unataka nikujibuje!!?
Zipo nyingi sanaHivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Hata mimi naamini hivyo. Wakiwa pamoja wanaweza Fanya kitu kikubwa zaidi ya hapa.-Imani yao inawatuma wakiwa na ugomvi/tofauti ndo watafanya ushindani katika soko la mziki (kama vile ni masharti ya mganga[emoji1] [emoji1])
Lakini kumbe wakiungana wanaweza kufanya vizuri zaidi "umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu",pia watakapokuwa pamoja hata wasanii wengi nyuma yao watafaidika sana na kufikia malengo yao.
Umeongea pumba sana,mbona hao wanawake uliowataja walianza kugongwa na Mr blue?? Sasa diamond anamfuata Mr blue??Alikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.
Diamond katembea na Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.
Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZIHujui leo kanipa password zake, lazma nikukomeshe
Vipi mtani???Alikiba bhna
Aaah-Supermarket a/c hacked[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Tupo kwenye marekebisho ya kuirejesha katika hali ya kawaida.
-Nimeaka poa tu mkuu, mara ya mwisho mimi kupanic nakumbuka ni 2014 zaidi ya hapo always natabasamu tu[emoji1],
**kwa heshima yako ile post nimeifuta[emoji120]
AahTeh teh
Punguza povu babaa
Pamoja mkuu kama viongozi wa WCB na Alikiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah
Ndugu yangu yaishe tuu.
Sisi tumetoka mbali sana, we are better than this.
Wajanja tumekushtukia umeumia kimoyo moyo baada ya Alikiba kumaliza kwa Queen darlin(dada yake diamond)..Alikiba anaanza kunyemelea ukweni sasa anataka kutengeneza heshima, sio tu kwenye mziki bali hata kwenye sekta nyeti.
--Huyu jamaa ni King aseeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
For the first time umeongea ujinga, yaan completely non sensical sh*t
You are better than that
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajua kinachofuata baada ya hiyo post chokonozi.
-Ameamua kujilinda kwa style hiyo.
**siyo mbaya leo nimeshindwa, nitamkamata nyuzi nyingine
Damn!!!!Sijelewa
Unataka nikujibuje!!?
Wazo zuri, halafu ukute wanafungia hata zile baraka ndogo ndogo za mwenyez Mungu tuu, wangepatana wange advance zaidi.Hata mimi naamini hivyo. Wakiwa pamoja wanaweza Fanya kitu kikubwa zaidi ya hapa.
Sure huo mkono sio wa MondPhotoshop