Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Photoshop
Yap!! Kweli ni photoshop
-Ingependeza zaidi ikiwa hivyo
-Sio Diamond Platnumz ni picha ya NEYO
-Wametoa kichwa cha Neyo wameweka cha Diamond
1481904868186.jpg

1481904891568.png
 
Sijelewa
Unataka nikujibuje!!?

Kuna mtu ka hack account ya supermarket anataka kutugombanisha au mwenye account leo haja amka vizuri ana taka ku pick fights.
-Supermarket a/c hacked[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Tupo kwenye marekebisho ya kuirejesha katika hali ya kawaida.
-Nimeaka poa tu mkuu, mara ya mwisho mimi kupanic nakumbuka ni 2014 zaidi ya hapo always natabasamu tu[emoji1],
**kwa heshima yako ile post nimeifuta[emoji120]
 
Angalia video ya Tunda man, starehe gharama, wote wapo mule kwenye kochi moja
Asee nimeenda kwanza nashukuru kwa kumbukumbu kubwa uliyo nayo.
Masahihisho
Diamond hakukaa kochi moja na Kiba, Kiba alikaa kochi moja na chege, tunda ndio alikaa na diamond. Hawa watu nadhani mara nyingi haya walipo kuwa na ukaribu kulikuwa na a third person kati yao

Ila ilikuwa poa sana kipindi hiko wanamuziki wote walikuwa na umoja.
 
Ingependeza sana aisee. Hope siku moja itatokea huko mbele ya safari
-Imani yao inawatuma wakiwa na ugomvi/tofauti ndo watafanya ushindani katika soko la mziki (kama vile ni masharti ya mganga[emoji1] [emoji1])

Lakini kumbe wakiungana wanaweza kufanya vizuri zaidi "umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu",pia watakapokuwa pamoja hata wasanii wengi nyuma yao watafaidika sana na mziki wetu Tz utazidi kufanya vizuri kimataifa.
Mtu mmoja hatoshi peke yake kuitangaza Tz
 
-Imani yao inawatuma wakiwa na ugomvi/tofauti ndo watafanya ushindani katika soko la mziki (kama vile ni masharti ya mganga[emoji1] [emoji1])
Lakini kumbe wakiungana wanaweza kufanya vizuri zaidi "umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu",pia watakapokuwa pamoja hata wasanii wengi nyuma yao watafaidika sana na kufikia malengo yao.
Hata mimi naamini hivyo. Wakiwa pamoja wanaweza Fanya kitu kikubwa zaidi ya hapa.
 
Alikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.

Diamond katembea na Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.

Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
Umeongea pumba sana,mbona hao wanawake uliowataja walianza kugongwa na Mr blue?? Sasa diamond anamfuata Mr blue??
 
-Supermarket a/c hacked[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Tupo kwenye marekebisho ya kuirejesha katika hali ya kawaida.
-Nimeaka poa tu mkuu, mara ya mwisho mimi kupanic nakumbuka ni 2014 zaidi ya hapo always natabasamu tu[emoji1],
**kwa heshima yako ile post nimeifuta[emoji120]
Aaah
Ndugu yangu yaishe tuu.

Sisi tumetoka mbali sana, we are better than this.
 
Wajanja tumekushtukia umeumia kimoyo moyo baada ya Alikiba kumaliza kwa Queen darlin(dada yake diamond)..Alikiba anaanza kunyemelea ukweni sasa anataka kutengeneza heshima, sio tu kwenye mziki bali hata kwenye sekta nyeti.
--Huyu jamaa ni King aseeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]

For the first time umeongea ujinga, yaan completely non sensical sh*t

You are better than that

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajua kinachofuata baada ya hiyo post chokonozi.
-Ameamua kujilinda kwa style hiyo.
**siyo mbaya leo nimeshindwa, nitamkamata nyuzi nyingine

Sijelewa
Unataka nikujibuje!!?
Damn!!!!

Mbona kama siamini majicho yangu!!!!
 
Back
Top Bottom