Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Teh Teh kwa hiyo title ilibidi iandikwe bilionea wa Arusha aolewa...Arusha itakuwa imepata bilionea mpya:biggrin1:
Teh Teh kwa hiyo title ilibidi iandikwe bilionea wa Arusha aolewa...
Teh Teh...daa kwakweli sasa Arusha panatakiwa kuitwa mji wa mabilionea daaa..Hapana, ilipaswa iwe hivi:
Kijana wa Arachuga Aukwaa Ubilionea Baada ya Kuvishwa Pete Na Muzungu!
Kuna uhakika gani kuwa ni mtanzania? Isije ikawa tunajidharirisha kwa kudhani kila mweusi ni mtanzania!!!!
Mwoaji na mwolewaji (in Mwl. Nyerere's voice) wote maji ga nyanza. Hakuna mwenye unafuu mkuu!Hivi umejuaje kama mwafrika ndio kaolewa na sio aliyeoa?
Hivi umejuaje kama mwafrika ndio kaolewa na sio aliyeoa?
Achana na habari ya kajala kubanjuka na mwanamuziki diamond platnums, tupilia mbali habari ya lulu kumpora bwana hamisa mobeto, habari inayozagaa kwa sasa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, ni kuhusu kijana wa kiume wa kitanzania aliyekubali kuolewa na mwanaume wa kizungu huko UK, habari chini ya kapeti zinaelezea kijana huyo kuwa ni mwenyeji wa Arusha.
Hata hivyo bado haijajulikana kijana huyo anatokea familia gani na uamuzi wa familia yake baada ya kusikia kijana wao kaolewa na mwanaume mwenzie tena harusi ya kifahari.
To me mweusi ameolewa. Sababu: 1. Picha ambayo wanakiss white seem to be dominant. 2. Picha nyingine black ameshika ua ishara ya kumkubali mume and she looks uncomfortable yaani no pozi kabisa kimsingi anjistukia kuwa kaharibu mazee
Msilolijua ni kama usiku wa Giza. Hiyo kitu imekua staged huyo jamaa wa Arusha kamlipa mshikaji wafunge Ndoa fake ili apate Uraia
Pia asiweze kurudishwa Tanzania kwa sababu Tanzania hizo ndoa hazikubaliki
Ingawa kafanya kwa interest zake ila ni Aibu sana kwa Taifa, tusimame pamoja kupinga ndoa za jinsia moja.
Mnamshambulia kama nyie wasafi wakati kati yenu mnawa,,,,mademu zenu na wengine ndio michezo ya vijana wengi dar arusha moshi morogoro,,,tofauti hapo ipii,,wabongo mmekosa lakufanya umbea tu,,fanyeni kazi na mlee vijana wenu kwa maadili,,,hayo hayawahusu kwaza mnafanya maozo zaidi yao