Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Kama ni mchaga huyu atakua mmarangu tuu, vijana wa kimarangu wanachapwa nao sana hapa mjini
 

Ameeeen.
 
"Akiwa UK na ni nchi yenye sheria zake anapaswa afate tu au ahame'-@Ishmael
 
Ndg yangu afrika kuna watu wanaoyafanya maisha ya wenzao kuwa magumu ila wao na watoto wao ndy wanaishi kama wako ulaya nawao ndy wenye kutoa maamuzi nyie wengine ni wasindikizaji tu

Acha kutafuta sbb za kijinga wewe?? Siasa itakutoa utu wako!
 
Waongo nyie. Huyu jamaa ni mganda ameolewa na mzungu raia wa Sweden huko Stockholm Sweden baada ya kuachana na mumewe mganda mwenzake waliodumu naye kwenye ndoa kwa miaka miwili.

Huyu mtu siyo mtanzania acheni kupotosha

Source please
 
Eeee Mwenyezi Mungu tunusuru waja wako!
 
hata mi nmeshangaaje! kumbe wadau wanamtafuna hadi wanajiramba kah!

dah noma sanaa! Kuna mdau hapa anamjuwa kinaga ubaga ananipa mchapo kumbe ile benz yake kaongwa na uyo bwanaake! Na ule mjengo wa mbez nae kapangishiwa ...daaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…