Picha: Kila la heri Simba SC na Yanga FC wawakilishi wetu wakimataifa

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267


Kila la heri Klabu zetu Tanzania Simba SC na Yanga FC kutuwakilisha kimataifa. Kikosi cha Yanga kilikuwa kikitua mchana wa leo katika uwanja wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tayari kwa safari kuelekea Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya St Louis FC.

Kikosi cha Simba SC kikiwa kimefika salama jioni ya leo nchini Kenya kikisubiri kuelekea nchini Djibouti tayari kuwavaa Gendamarie Internationale FC katika michuano ya Kombe la Shirikisho.

Kila la heri wawakilishi wetu wa kimataifa.

=====
UPDATES;

Simba na Yanga katika viwanja tofauti vya Djibouti ns Shelisheli wakifanya mazoezi tayari kuwavaa Gendamarie Internationale FC na St Louis FC

Wakati Simba SC ikijiandaa kuwakabili Gendamarie, golikipa Aishi Manula amumia mkono kwenye mazoezini.. pole sana upone haraka
 
Nasema hivii, una lako jambo. Ngoja waje wenye chama lao hapo.
Kuwatakia heri wana Ndinga ni jambo langu au ni jambo la kila mdau mpenda soka? Au kuna tofauti gani hapo kwenye picha?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona Mikia imepanda Daladala.
Ni Kweli lakini hapo hawa njano wanakwenda kucheza na Ihefu FC na wale nyekundu wanakwenda kucheza na KRC GENK.
 
tofauti ya waliozoea kupanda ndege na waliokamia inaonekana wazi kabisa.
 
wanaharibu helq tu awo simbq na Yqnga....maana hakuna atakayezid lound ya pili hapo.
 
wanaharibu helq tu awo simbq na Yqnga....maana hakuna atakayezid lound ya pili hapo.
Hapo ni mmoja tu ambaye hana lolote kimataifa, akienda anarukaruka tu kama Chura FC.

Afadhali huyo mwingine amefika hata kucheza nusu fainali Klabu Bingwa na akafika fainali michuano ya CAF ambayo kwa sasa ni kombe la Shirikisho.
 
Yanga hana ushamba na ndege mikia hawaamini kama watagonga visa maana hawajawai kupitia migration


Simba hapo kuna wachezaji wamecheza ulaya: Okwi, Mwinyi, Afrika kaskazini: Okwi, wamefanya majaribio ulaya: Ndemla, Kapombe wamecheza kimataifa: Manula, Nyoni, Kapombe, Gyan, Kwasi, Kotei n.k semeni mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…