PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Mkuu tumia getrizone cream. Unapaka ahsubuhi na jioni. Siku tatu ujaanza kuona matokeo.

Hakikisha haupaki mafuta yeyote huko zaidi ya hiyo cream.
 
Usivae qupi iloloa na na vaa mara moja tuu usirudie na hakikisha joto kwako lisiwe kubwa na kila ukimaliza kuoga pangusa kwa taulo paka mafuta ya nazi ni mazuri kuliko hiyo crem unazopaka
 
Tafuta hydrogen peroxide upake hapo ndani ya saa moja kwisha kazi. Inapatikana maabara za shule za advance.
 
Jipake majimaji ya limau au ndimu kisha acha pumbu wazi zipate upepo bila kujifunika chochote. Fanya hivyo asubuhi na jioni kwa siku 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ