PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

acha kumtisha mwana sio lazima ujikute dr
Nilishapata tatizo karibu Kama hili nikiwa A level Mbagala!
Kwa kuona aibu nikawa najitibu kisirisiri...niliumia na tatizo likawa kubwa Kama tu level aliyofikia mshkaji!
Siku moja nikajipa ujasiri baada ya kuumia sana nikamfuata dada mmoja daktari nikamwambia na nikamuonyesha, sio uongo, within three days nilianza kuwa sawa.
 
Dawa ulizoelekezwa ulizitumia kwa uaminifu?! Huko hospital uliwahi kwenda?!
Hata leo nimetoka hospitali lakini , nimeenda kwa madaktari zaidi ya 6 hadi sasa , wawili wa ngozi. Lakini wananipa dawa ileile mbali na kuwaelezea kuwa haina matokeo chanya kwangu , madaktari bana😭
 
Pole sana, nilikutana na changamoto kama yako kwa zaidi ya miaka 10. Kunawakati nilikata tamaa na kusema acha maisha yaendelee. Toka Niko chuo mwaka 1 hadi wa 3 sikupona.
Nimeingia serikalini miaka 9 sikupona.
Nilitumia dawa nyingi sana za hospitali na mitishamba siku pona. Lakini dawa sahihi niliipata hapa jamii forum. Ni zaidi ya miaka 2 sasa niko safi sisumbuliwi tena.
Kuna mtu aliuliza dawa ya huo ugonjwa akaambiwa nenda kanywe dawa(vidonge) vya vitamin. Ndiyo, nilitumia hiyo mbinu tena nilitumia elfu tatu tu. Nikapona mazima.

Nilikunywa kwa siku 14.
Siku ya nne nilianza kuona mabadiliko
Ngizi ya Pumbu ilianza kuwa ngumu na baadhi ya ngozi zilikuwa zinatoka. Siku ya 7 ngozi ya pumbu ilianza kulainika sana. Siku ya kumi zilianza kurejesha rangi yake ya asili na hatimaye nilipona kabisa.
Hii tiba sahihi ya kwanza maishani mwangu ambayo niliipata jf na nikapona kabisa.
Nakushauri kama bado unasumbuliwa tafuta vidonge vya vitamin huenda ukapona.
 
Vitamini ipi?A,B,C,D au ipi?
 
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,

Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni

Post in thread 'Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!' Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!
View attachment 3006692

View attachment 3006691
View attachment 3006693
Tatizo linaweza kuwa hiyo "kujisugua hadi damu" ukisugua ngozi hadi damu unakua unaharibu skin protection layer na hivyo kufanya iwe rahisi bacteria infections kuweza kufikia layer ya ndani na kusabaisha fungus. Lakini pia dalili ya aina hii ikiendelea kuwepo kwa zaidi ya wiki 2 wakati unatumia anti fungus creams fika hospitali pima HIV
 
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,

Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni

Post in thread 'Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!' Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!
View attachment 3006692

View attachment 3006691
View attachment 3006693
Ulishawahi kutumia Candistat??
 
Pole sana, nilikutana na changamoto kama yako kwa zaidi ya miaka 10. Kunawakati nilikata tamaa na kusema acha maisha yaendelee. Toka Niko chuo mwaka 1 hadi wa 3 sikupona.
Nimeingia serikalini miaka 9 sikupona.
Nilitumia dawa nyingi sana za hospitali na mitishamba siku pona. Lakini dawa sahihi niliipata hapa jamii forum. Ni zaidi ya miaka 2 sasa niko safi sisumbuliwi tena.
Kuna mtu aliuliza dawa ya huo ugonjwa akaambiwa nenda kanywe dawa(vidonge) vya vitamin. Ndiyo, nilitumia hiyo mbinu tena nilitumia elfu tatu tu. Nikapona mazima.

Nilikunywa kwa siku 14.
Siku ya nne nilianza kuona mabadiliko
Ngizi ya Pumbu ilianza kuwa ngumu na baadhi ya ngozi zilikuwa zinatoka. Siku ya 7 ngozi ya pumbu ilianza kulainika sana. Siku ya kumi zilianza kurejesha rangi yake ya asili na hatimaye nilipona kabisa.
Hii tiba sahihi ya kwanza maishani mwangu ambayo niliipata jf na nikapona kabisa.
Nakushauri kama bado unasumbuliwa tafuta vidonge vya vitamin huenda ukapona.
Asante sana mkuu,
 
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,

Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni

Post in thread 'Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!' Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!
View attachment 3006692

View attachment 3006691
View attachment 3006693
DR Mambo Jambo
 
Back
Top Bottom