PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,

Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni

Post in thread 'Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!' Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!
View attachment 3006692

View attachment 3006691
View attachment 3006693
Badoukohai??Allah fundi
 
ukitaka kula mke wamtu akikisha mume mchaga hawa makabila wengjne wanakurushia magonjwa hakuna rangi utakaa uone...kuna jamaa kla sana wake za watu mtaani kasoro wangu

Kilasaa anahisi kunya akienda choonii hapati choo noma
 
Mkuu pole sana, hebu kafanye culture and sensitivity hii itakupa dawa stahiki
Hizo alizoelekezwa mkuu ni sahihi.
Maana Graseofulvin hutibu bacteria za ndani zinazochafua damu na mchafuko wowote wa ndani ya damu.
Fluconazole hutibu kila aina ya fangasi sugu na aina zote za STD/STIs hata pangusa inatibu hata kaswende na kisonono pamoja na fangasi aina zote.
Clotrimazole hutibu matatizo ya ngozi kwa nje.
Akasumbuke kupima tena ya nini mkuu.
 
Akifanya culture itasaidia kuonesha ni mdudu gani hasa anasumbua na yuko sensitive kwa dawa ipi, kwa hiyo itampa dawa specific na siyo broad spectrum.
 
Akifanya culture itasaidia kuonesha ni mdudu gani hasa anasumbua na yuko sensitive kwa dawa ipi, kwa hiyo itampa dawa specific na siyo broad spectrum.
Uko sahihi japo nadhani hata hilo likifanyika huwenda akarudi kwenye dawa takriban zile zile.
Au wakamtwanga strong antibiotics tena za sindano kabisa.
 
Kama unaweza basi safiri nenda maeneo yenye baridi ukae hata three weeks, chanzo Cha kwanza ni maji mnayotumia hayo maeneo

Ukitaka kupona kabisa hama hayo maeneo, Maisha yako ya kilasiku including chakula yamesababisha kushuka kwa kinga ya mwili

Hama iyo sehemu then tumia hizi dawa

(1)Fluconazole tablets (tumia kwa mwezi)
(2)Terbinafine cream(paka asubuhi na jioni pakiwa pakavu na usivae box mpaka utakapo pona)......
 
Itakuwa maji ndiyo yanakuletea huo ugonjwa badirisha maji ya sehemu unayo chota, pia Kama umetoka mkowa wa baridi na ukaenda mkoa wa joto Basi hacha kuvaa boksa kwa muda uangalie maendeleo, umalizapo kuoga jifute maji sehemu zako za Siri. Mwisho kapime HIV.
 
Pole mkuu...naona umevurugwa hadi umeweka picha ya zaga ...dawa ya kienyeji ni changanya chumvi, majivu na maji kidogo then paka siku tano hadi 7 utapona..
Ukishindwa nunua multivitamin pia utapona
 
Back
Top Bottom