PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Kama ugonjwa umekuwa sugu tumia sindano, achana na matumizi ya hizo dawa za kupaka na kumeza. Ukienda hospitali waambie nataka sindano utapona kwani inafanya kazi haraka zaidi ya dawa za kumeza na kupaka.
 
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,

Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni

Post in thread 'Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!' Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!
View attachment 3006692


View attachment 3006691
View attachment 3006693
Nenda kwa Mwamposa chukua mafuta ya upako
 
Back
Top Bottom