PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Ushapona acha kutumia za kisasa Kama zimeshindwa njoo
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,

Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni

Post in thread 'Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!' Fangasi za pumbu zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!
View attachment 3006692


View attachment 3006691
View attachment 3006693
 
Tumia hii dawa mkuu nakuambia itakusaidia .....
 

Attachments

  • IMG_20240609_174609.jpg
    IMG_20240609_174609.jpg
    80.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom